vpn

  1. Watakaowasha VPN kuipata TikTok kufungwa miaka 20 au faini ya Tsh. Bilioni 2.3

    Kwa mujibu wapendekezo yaliyopitishwa na Bunge la #Congress, adhabu hiyo itaanza utekelezaji endapo Mtandao huo utafungiwa kuendesha huduma zake Nchini Marekani Pia, Wabunge wa #Democratic na #Republican kwa pamoja wameridhia kuwa watakaokutwa na hatia wanaweza kupigwa faini hadi Tsh. Bilioni...
  2. P

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN?

    Je, ni illegal kutumia free internet kupitia VPN? Naomba kufahamishwa
  3. Nape: Hatuna mpango wa kufungia VPN

    Waziri wa Mawasiliano, Nape Nnauye amesema amesikia uvumi ya kuwa serikali ina mpango wa kuzuia VPN, amesema suala hilo haliwezekani, wala serikali haina mpango huo Hata hivyo, amesema mtu akikutwa amefanya kosa la kimtandao huku akitumia VPN atahukumiwa kwa makosa hayo. Kwasasa hakuna sheria...
  4. TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  5. M

    KERO Nape Nnauye afungia mtandao wa Clubhouse, haupatikani Tanzania bila VPN

    Nape strikes again. Ukishaonja kula nyama za watu, kamwe hutoacha. Yuleyule aliyetuondolea bunge live wakati huo akiwa waziri wa habari kipindi cha utawala wa Magufuli, Leo tena akiwa na dhamana hiyohiyo ya Waziri wa habari ameufungia kimyakimya mtandao maarufu wa Clubhouse. Mtandao wa...
  6. M

    CCM inapaswa kudhibiti ufisadi na wizi wa pesa za umma. Sio kudili na picha za ngono ambazo VPN inapiga kazi

    Mnafahamu kabisa pesa za umma zinaliwa. Sasa mnadili na minor issues ili iweje? Unafahamu huu wizi kwa nini sasa mnakomaa na vitu kama hivi ambavyo hata kwa VpN mtu anaviaccess? Huu sio wakati wa kudili na minor issues. Tunataka mdhibiti ufisadi. 👇
  7. Nalia na VPN

    Tangu websites za porn zimepigwa ban hapa bongo VPN ilikua ndo mkombozi wetu wanyonge, naomba nieleweke mimi sio member wa CHAPUTA nilikua napita pita tu uko pornhub, xxnx n.k kureflesh akili na kuongeza mbinu za kivita ninapokua kwenye uwanja wa mapambano. Siku za karibuni hii VPN ninayotumia...
  8. US Congress calls for the FTC to regulate how VPN companies operate

    US Democrats have urged the FTC (Federal Trade Commission) to crack down on deceptive practices in the Virtual Private Network (VPN) industry, The Verge has reported. In an open letter, Rep. Anna Eshoo (D-CA) and Senator Ron Wyden (D-OR) cited research indicating that three-quarters of the most...
  9. Nawezaje kuona setting za VPN apps Kama manual VPN..?

    Mfano unatumia vpn app ambayo unabofya tu inajikonekti yenyewe,Sasa je Kuna namna ipi naweza pata data za hiyohiyo app na nikaziset mwenyewe manually..?? Msaada tafadhari.
  10. Ukiachana na VPN na TOR hii njia pia inaweza kukusaidia ku-access blocked sites au apps kwenye internet kwa kubadili DNS Servers

    Hello bosses....... Kuna muda matumizi ya internet yanabanwa kiasi fulani hivyo kufanya watu wengi waishie kutumia VPN. Japo matumizi ya VPN yanaonekana kuaminiwa sana ila kiukweli mara nyingi hizi free au cheap VPN haziko safe sana sana kwenye privacy yako kwa sababu wao wanapata browsing...
  11. H

    Jamani hakuna VPN inayoprovide internet. Haya makampuni yananishinda.

    Mitandao mizito sana na mvua hii basi ndio kabisa inakatakata kama tanesco na umeme na mvua na ukiwa na shida unataka kusolve kitu kwa haraka basi ndio inakuwa balaa tupu.. Wadau hebu tupieni maujuzi makampuni yetu ni shida. Yaani tunakuwa na mitandao ya kubahatisha haina uhakika na...
  12. Jifunze jinsi ya kufungua website yoyote iliyozuiwa kwa kutumia kivinjari cha opera

    Ukisafiri baadhi ya nchi, website za muhimu kama za dini huwa zimefungiwa. kuna browser inyoitwa opera, hii ni browser kama ilivyo kwa google chrome, lakini imeboreshwa zaidi kwa kuwekewa ndani yake feature ya vpn, huna haja ya kudownload vpn, ukiwa na opera ushamaliza mchezo. 1. ingia...
  13. Serikali kuzuia website za XXX ni kuingilia uhuru wa wananchi wake

    Habari wadau! Binafsi sio muangaliaji wa hizo picha wala video huko nilishapita zamani na nimeoa nina familia ila mara moja moja huwa naingiaga ili kufanya review ya mapigo mapya ya kupractice katika yalee mambo yetu ya mshedede. Nasikia S/kali imezuia hii mitandao ya XXX binafsi nipo na...
  14. Jibu langu kwa Liverpool VPN na wenye shaka sa ndoa

    Liverpool VPN ameanzisha uzi huu Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia kimsingi ameonyesha kwamba kwa kuwatazama wenza aliowaelezea hakuna haja ya ndoa. Anashare msimamo na watu wanaojitambulisha kama MGTOW (Men Going Their Own Way) kabla sijafika mbali nauliza hili swali "Mapenzi ni...
  15. Uzinduzi wa Mpango wa Maendeleo wa Wizara ya TEHAMA: Kumbe waliodhani ni Wizara ya VPN walikosea

    Katibu wa Wizara ya TEHAMA, Dk Zainab Chaula, na Waziri wake, Dk Ndungulile wakiteta jambo Wizara ya Tekinolojia, Habari na Mawasiliano (TEHAMA) imezindua mpango wake wa maendeleo wa miaka mitano (2021-2026), mjini Dodoma leo. Ni wizara ya kwanza kufanya hivyo ndani ya siku mbili baada ya...
  16. Ilikuwa busara kufungia Twitter, kujinaisha (criminalise) matumizi ya VPN na bado unawasiliana na wananchi kupitia Twitter?

    Hilo jambo bado linasumbua akili yangu kuona mamlaka inafungia Twitter, halafu inaweka kuwa kutumia VPN ni kosa la jinai. Halafu yenyewe inatumia VPN kuwasiliana na wananchi ambao hawatakiwi kutumia VPN kuifikia Twitter. Nionavyo mimi, matumizi ya VPN yawe halali kisheria kwa sababu mamlaka...
  17. Serikali na TCRA kuurudisha rasmi Mtandao wa Twitter bila kutumia VPN 'Kimya Kimya' bila kutuomba Radhi ni 'Kutudharau' Watanzania

    Hivi ni kwanini wenye Mamlaka wengi nchini Tanzania neno Samahani ( Naomba Radhi ) Kwenu huwa ni Gumu sana huku mkidhani mkisema itakuwa mnajidhalilisha au kuonekana dhaifu? Yaani kabla ya Uchaguzi Mkuu mwaka Jana ( 2020 ) hadi hii Leo Huduma ya Mtandao wa Twitter ilikuwa haipatikani mpaka...
  18. W

    Twitter bila VPN yarejea nchini Tanzania

    Habari, kama mtakumbuka wakati wa uchanguzi mkuu wa mwaka uliopita kulipelekea kufungwa kwa mitandao ya kijamii na njia pekee ya kuifikia ilikupaswa uwe unatumia virtual private network (VPN) - a technology for protect private network over public network such as internet. Mara baada ya uchaguzi...
  19. Msaada kwenye hii VPN

    Habari za jion wana tech wa JF. Leo nimeshtuka kidogo, muda wote kwasababu nipo Twitter natumia VPN, sasa kuna muda nilienda Google ile paa nikajikuta nascroll mpaka chini kabisa bwana ee nikaona location nipo huku kwetu maeneo fulan Morogoro nyumban kwetu kabisa, sasa najiuliza hii Google ina...
  20. S

    Msaada: Wataalam wa solar energy

    Ni solar panel na betri ya namna gani ambayo itaweza kuwasha taa tatu na kuchaji simu mbili kwa wakati mmoja?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…