vumbi

  1. Doyi

    Uongozi serikali ya mtaa babati mjini kwa hili vumbi mnalotulisha wapiga kura wenu ni haki?? Mkurugenzi na timu yako mjitathmini

    Tunafahamu kuna ujenzi wa daraja maeneo ya msasani barabara ya kuelekea stendi mpya inaendelea na ni sehemu ya juhudi za serikali katika kuboresha miundo mbinu,ila kosa la kwanza mlilofanya ni kumpa tenda mkandarasi asiye na weledi kabisaa kabisaa,kwa maarifa yangu madogo alipaswa ajenge njia...
  2. R

    Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu

    Huwaga inafikia steji watu wanayakatia tamaa magari yao wanaamua kutatelekeza magerejini, majumbani, n.k. Ni sababu ipi iliyokufanya ukate tamaa kulitengeneza gari lako ukaliacha likusanye vumbi na kutu
  3. R

    Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

    Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu. Wapi kwenye unafuu? #Morogoro manicipal
  4. M

    Mwigulu Nchemba agiza gari la maji limwagie uwanjani. Vumbi litawaumiza mashabiki wa Singida big stars.

    Vumbi limetawala hapo Namfua Stadium. Misomisondo amefunika ila tatizo vumbi la Singida. Mwageni maji basi.
  5. KING MIDAS

    Akayabagu ni hatari, vumbi la Congo linasubiri

    Hatari sana hii mambo
  6. Yoda

    Utaratibu wa kufagia ardhi ya udongo, mchanga au vumbi ni usafi gani?

    Ni aina fulani ya kukosa maarifa, upotezaji muda au ujuha kuamka kila siku asubuhi kufagia uani kwako, mbele ya nyumba yako au katika biashara yako kama hakuna pavement blocks, sakafu ya zege,/cement, tiles au lami. Unakuta mtu anatimua vumbi mtaa mzima kwa minajili kwamba anafagia kufanya...
  7. Abraham Lincolnn

    Video; Wanafunzi wakifanya mitihani wakiwa wameketi chini nje kwenye vumbi

  8. ngara23

    Ligi ya Muungano kuanza kutimua vumbi Aprili 23, 2024

    Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024 Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ. Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu...
  9. Sildenafil Citrate

    SI KWELI Maziwa fresh ni tiba ya sumu ya vumbi linaloingia kwenye mfumo wa upumuaji

    Umewahi kunywa sumu yoyote ile kimakosa kisha baadhi ya watu wakakushauri utumie maziwa fresh kama sehemu ya tiba? Madai ya maziwa fresh kuwa na uwezo wa kuondoa sumu mwilini yamekuwepo wa muda mrefu. Katika kujadili ufanisi wake, mdau mmoja wa JamiiForums amekosoa vikali tiba hii kwa kusema...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    Sio kosa Mara mojamoja kumpakia Mkeo Mundende au Vumbi La kongo

    SIO KOSA MARA MOJAMOJA KUMPAKIA MKEO MUNDENDE AU VUMBI LA KONGO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Angalizo, Asome mwenye umri kuanzia miaka 18. Na yeyote mwenye mke, na yeyeto anayetarajia Kuwa na Mke(Kuoa). Mambo haya ni yafaragha, nafahamu wapo maelfu ya vijana ambao hawana wazazi au...
  11. comte

    Maandamano ya amani! takwimu zinaonyesha yaweza kuishia kwenye machafuko

    Armed Conflict Location & Event Data Project (ACLED) provides that while a majority of the events analysed did not feature contestation by competing sides, roughly 7 per cent involved some sort of interaction. The police or military were deployed in 5 per cent of events, a substantial number at...
  12. peno hasegawa

    Nimepata kusomea Ratiba ya Makonda mikoa 20, anapita barabara zenye lami tu? Kwenye barabara za maeneo yenye vumbi hakuna wanaccm?

    Huyu bwana ni msaani! Anatumia Kodi na fedha za chama kupitia na gari Kila mkoa Kwa siku Moja! Cha kunifurahisha Sasa , hapiti maeneo yenye matatizo mfano , maeneo ambayo hakuna maji, shule, barabara, umeme bali anapitia maeneo ya barabara kuu penye lami TU. Cha kujiuliza huko kusiko na lami...
  13. Erythrocyte

    Profesa Janab ukithubutu kukubali kuwa Katibu Mkuu wa CCM, heshima yako itapukutika kama vumbi la majivu

    CCM kwa sasa ndiyo mahali ambako Waungwana wote wanaoingia huko moja kwa moja, wanageuka na kuwa kituko. Nafahamu kwamba wewe Profesa wangu ni CCM, lakini suala la wewe kuwa Katibu Mkuu wa ccm litakuondolea heshima yako yote uliyojijengea kwa miaka yote, hicho chama kimekwisha na wala huwezi...
  14. Stephano Mgendanyi

    Chege Cup Kuanza Kutimua Vumbi Mkoa wa Mara Desemba 2023

    CHEGE CUP NGAZI YA MKOA KUANZIA KUTIMUA VUMBI DESEMBA 2023 NDANI YA WILAYA YA RORYA MKOA WA MARA "Nimeamini tunaweza kutengeneza timu nzuri sana ya Wilaya ya Rorya na tukashindana kokote. Michezo ya leo siyo mwisho, lengo ni kukimbizana na Michezo ya Fainali ambayo tunaenda kuandaa Chege Cup...
  15. Faana

    Nini kifanyike kupunguza au kuondoa kero ya upepo mkali wenye vumbi Dodoma?

    Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
  16. muuza ubuyu

    Hali ya barabara ya Dumila - Handeni - Korogwe, Je ni barabara ya lami au vumbi?

    Habari wakuu, Mwezi wa kumi na moja nina safari ya kwenda Lushoto kwa kutumia usafiri binafsi. Kiufupi mimi ni mgeni katika mkoa wa Tanga na sijui hali ya barabara mkoani humo. Ninaishi kwenye moja ya mikoa ya kanda ya magharibi mwa Tanzania. Barabara ninayotaka kutumia ni ile ya kutoka...
  17. MamaSamia2025

    KARATU: Mji wenye vumbi kali na fursa nyingi za kiuchumi

    Majuzi nilileta uzi wa miji yenye vumbi jingi ambapo Karatu ilikuwa namba moja na hakuna aliyepinga. Baadhi ya comments zilizonekana kugusiagusia kuhusu huu mji ambao hauna mpinzani kwa kiwango cha vumbi jekundu kusini mwa jangwa la sahara. Lakini pamoja na vumbi bado Karatu ni mji mmoja uliokaa...
  18. MamaSamia2025

    Miji inayoongoza kwa vumbi Tanzania. Shati jeupe usiende nalo

    Hii ni miji kumi inayoongoza kwa vumbi nyakati za kiangazi nchini Tanzania. Ukienda huko achana na habari ya nguo nyeupe. Pendelea rangi nyeusi, brown au kijivu. 1. KARATU 2. KASULU 3. KIBONDO 4. BOMANG'OMBE, Hai 5. SONGEA 6. TUNDUMA 7. ORKESMET, Simanjiro. 8. DODOMA 9. MERERANI 10. MTO WA MBU
  19. Replica

    Rukwa yaongoza uwekezaji mwezi Julai, yazitimulia vumbi Dar na Mwanza. Uwekezaji wa wazawa waporomoka nchini

    Mwezi Julai, kituo cha uwekezaji nchini(TIC) kilitoa takwimu mbalimbali kuhusu hali ya uwekezaji nchini huku Rukwa ikishangaza kwa kuongoza kuwa na uwekezaji mkubwa zaidi. China imeendelea kuwa nchi ya kigeni inayowekeza zaidi nchini huku sekta ya kilimo ikitia fora kwa ukubwa wa mtaji...
  20. Stephano Mgendanyi

    Noah Cup 2023 Kuanza Kutimia Vumbi Uwanja wa Ilboru Arusha

    NOAH CUP 2023 KUANZA KUTIMUA VUMBI UWANJA WA ILBORU ARUSHA Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi Jijini Arusha, Mhe. Noah Lemburis Saputu Tarehe 12 Agosti, 2023 katika Uwanja wa Michezo wa Ilboru Jijini Arusha amefanya Uzinduzi wa Mashindano ya Michezo yaitwayo NOAH CUP 2023 Michuano ya Mpira...
Back
Top Bottom