Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.
Kumekuwa na tabia ya kuweka matuta kwenye barabara za vumbi za mitaa au vijijini kwa nia ya kupunguza ajali katika mitaa husika hasa ajali za watoto zinazohusisha pikipiki.
Kufanya juhudi za kupambana na ajali ni jambo jema isipokuwa...
Kiukweli Dar es Salaam kipindi hiki kuna joto na vumbi kali linalopulizwa na upepo wa hapa na pale.
Kwa kawaida vumbi hubeba vijidudu vya kila aina hasa ukizingatia wakazi wa Dar wana tabia ya kutema mate na kupenga kamasi hovyo hovyo tu.
Japokuwa ukivaa barakoa unaonekana " wakuja" lakini kwa...
Mambo vipi ndugu?
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 22 nimeanza mazoezi ya kegel kutokana na tatizo langu la kuwahi kufika kileleni.Kwa sasa hivi nina mwezi tangu nianze na nimeonai dalili Kwa mbali kuwa ninaanza kupona ila nikisex nawahi kufika kileleni.
Nina imani na zoezi hili...
Kwa kadri ya macho yangu Mkutano huu wa kata ya Machame waweza kuwa umevunja rekodi ya mikutano ya kisiasa iliyowahi kufanyika kwenye jimbo la Hai.
Hakika kumtoa mtu huyu kwenye jimbo hili kunahitajika wapiga kura wapya kabisa, ama labda wazaliwe watu wapya wengine Hai nzima .
Yaani namshangaa Mheshimiwa Magufuli amebaki na kuachwa akiangalia live band tu,anakula starehe, Sijui kama anazo taarifa au wahusika hawampi na kumwambia ukweli,kuwa Tundu Lissu ameshauteka umma wa walio wengi na anaendelea kukata mbuga kwa kasi ya ajabu.
Ukiangalia vizuri utaona Polepole...
Habari ya muda huu viongozi..
Poleni kwa mapambano yanayoendelea dhidi ya janga hili la ugonjwa hatari wa homa ya mapafu unaosababishwa na kirusi hatari cha corona. Tujitahdi kunawa mikono kwa maji tiririka na kutulia nyumbani.
Kwa miaka kadhaa kumeibuka dawa mbali mbali tukiachana na zile za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.