Kilichowaponza CHADEMA ni kauli na hamasa ya vurugu
Na Mwandishi Wetu
MWAKA 1994 hauwezi kufutika katika historia ya dunia baada ya watu zaidi ya 800,000 kupoteza maisha kwa mauaji ya wenyewe kwa wenyewe nchini Rwanda. Wengine zaidi ya 2,000,000 walikimbia nchi na kwenda maeneo mbalimbali...