vurugu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Cannabis

    Baada ya vurugu za Wasafi na EFM, Hamonize atangaza ujio wa Konde Gang FM na Konde Gang TV

    Baada ya vurugu na purukushani za EFM na Wasafi Media ambapo zimepelekea kwa watangazaji mbali mbali kuhama katika vituo hivyo vya burudani, msanii Harmonize ameujulisha umma kupitia ukurasa wake wa Instagram kuwa ameshakamlilisha Konde Gang FM na TV kwa 100%. Hivyo kuwataka wadau wakae mkao wa...
  2. EMMANUEL JASIRI

    Siasa zenye Chuki binafsi ni Sababu ya Vurugu na Vita

    Mtu yeyote anaweza kupata fursa nzuri na maendeleo. Zipo familia zilizo bahatika kuishi katika utajiri mkubwa. Hiyo ni fursa ambayo wamejariwa. Changamoto ni kwamba wapo wanao amini kuwa umaskini walionao umesababishwa na matajiri waliopo. Ndipo Watu hawa huwa na chuki dhidi ya matajiri. Na...
  3. Anonymous

    SI KWELI Marekani yawawekea vikwazo viongozi Kenya kwa kuchochea vurugu, yumo Naibu Rais

    Kumekuwepo na taarifa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia gazeti la Mwananchi limeandika kuwa Serikali ya Marekani imewawekea vikwazo wanasiasa wanne wa Kenya pamoja na familia zao akiwemo Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua baada ya kupata taarifa kuwa wanasiasa hao walipanga na kufadhili...
  4. Z

    Tunachokishuhudia Kenya si maandamano ya amani bali ni vurugu na uhalifu

    Maandamano ya tarehe 20/3 tulishuhudia maduka yakivunjwa na waandamanaji na kupora mali za watu, tumeshuhudia magari yakichomwa moto, matairi yakichomwa barabarani vurugu tupu. Juzi trh 27/3, Tena tumeshuhudia makanisa na misikiti ikichomwa moto na waandamanaji, lakini pia shamba la Rais...
  5. R

    Vifurushi vya Tigo vurugu tupu

    1. Kila laini ina menu tofauti. Mfano Saizi yako ukiwa say na laini mbili za Tigo, kila laini ina menu tofauti ya size yako interms of every thing...dakika, MB, etc etc. 2. Laini ingine saizi yako ina 50 min tigo tigo, 50 mitandao yote, 50 msm/24/1,000 Na vurugu nyingine nyingi. Takataka tupu
  6. JanguKamaJangu

    Kenya: Mechi ya Gor Mahia Vs Azam FC yaahirishwa kutokana na vurugu za kisiasa

    Gor Mahia vs Azam SC friendly match scheduled for Sunday 26th March has been called off due to prevailing political uncertainties.
  7. BARD AI

    Chris Brown ahojiwa na Polisi kwa vurugu zilizotokea baada ya kuingia Klabu

    Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na kusababisha Mtu mmoja kujeruhiwa kwa Chupa Kichwani na kukimbizwa Hospitali. Chris Brown anayeendelea na...
  8. comte

    Vurugu za London za mwaka 2011 zinaweza kuwa za msaada mkubwa kwa tume ya haki jinai

    https://theconversation.com/the-london-riots-ten-years-on-how-a-crackdown-on-protest-became-their-main-legacy-165048
  9. Rusumo one

    Vurugu ya ubomoaji wa jengo la shule ya sekondari chumvi iliyopo Uvinza

  10. BARD AI

    Dodoma: Mtu mmoja afariki kwenye vurugu za Sungusungu na vijana wa Bahi

    Mtu mmoja amefariki dunia baada ya kutokea vurugu kati ya sungusungu na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Mwitikila wilayani Bahi Mkoa wa Dodoma. Inadaiwa kuwa vurugu hizo zilizotokea usiku wa kuamkia leo Jumapili Desemba 18, 2022 zilianza baada ya sungusungu kuanza kukamata vijana wanaodaiwa...
  11. saidoo25

    Inadaiwa kuna Vurugu kubwa mkutano wa CWT Dodoma muda huu

    Kuna tetesi za kuwepo vurugu kubwa kwenye mkutano mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania unaoendele muda huu ndani ya Ukumbi wa CCM wa Jakaya Kikwete Dodoma. Vyombo vya Dola tunaomba muwahi eneo la tukio mkatulize hiyo sintofahamu inayoendelea muda huu ukumbini.
  12. JanguKamaJangu

    Sierra Leone: Vurugu zatokea Bungeni

    Chanzo cha vurugu kinatajwa kuwa ni majibizano kuhusu mjadala wa mapendekezo ya mageuzi ya uchaguzi ambapo wabunge walikuwa wakibishana suala la kuzingatia uwakilishi sawia katika uchaguzi ujao wa nchi hiyo. Chama tawala cha Sierra Leone People’s Party kinaunga mkono mageuzi wakati chama cha...
  13. Mwamuzi wa Tanzania

    Uislam ni dini inayoleta vurugu na kuharibu amani ya ulimwengu

    Habari wananchi. Neno uislam ni neno lenye asili ya Kiarabu ambalo maana yake ni unyenyekevu. Kwa uhalisia uislam hauna unyenyekevu na uvumilivu ndani yake. Wanachokifanya Alshabab, Alqaeda, Islamic state, Bokko haram, na vikundi vingine vya itikadi kali ndio taswira halisi ya Uislam...
  14. ryan riz

    Hivi stendi ya daladala Sabasaba Dodoma wameshindwa kuwatenganisha wauza bidhaa za sokoni na parking za daladala?

    Nashindwa kuelewa, yaani eneo la nyuma ya stendi kuna soko la vyakula, ila cha ajabu sehemu zinapopark daladala zimezungukwa kwa kupangwa nyanya, viazi, machungwa nk. Yaani njia ya kupita shida pindi unapanda daladala, hata madereva wanalalamikia hili. Pia hupelekea watu kupigana kwa kunyaga...
  15. sky soldier

    Utafiti usio rasmi: Kuna vurugu na malumbano kidogo sana ama hakuna kabisa kwenye ndoa zenye wanaume wanaovuta bangi tofauti na wanaokunywa pombe

    Hata kwa nchi zilizoruhusu bangi hesabu zinaonesha ndoa zenye wavuta bangi ni nadra sana kuwa na matatizo tofauti na ndoa za walevi wa pombe ambazo zimejaa kesi kibao za kuvunjika kwa ndoa, kupigana, kutukanana hadharani, watoto kupigwa hovyo, n.k. Tukija hata hapa bongo tushazoea kuona pombe...
  16. Valencia_UPV

    Kenya 2022 Odinga adhibitiwe, ataleta vurugu

    Huyu mwamba Hana cha kupoteza, asipodhibitiwa tutaanza kutafuta wasuluhishi wa kimataifa kusuluhisha Mgogoro. Awekwe chini ya ulinzi mkali akubali kushindwa na kumpongeza Mheshimiwa Dr. Ruto (PhD) kisha aachiwe baada ya Rais mpya kuapishwa. Pia, Wasisahau kuzima internet mwezi mzima
  17. J

    Kenya 2022 Vurugu zanukia Kenya, mawakala wa Odinga waishtumu tume kufanya uhalifu

    Mzee Odinga sijui kanusa kushindwa sijui Mawakala wake wamekuwa wakilalamikiwa na Tume kuzua vurugu kila mara kwenye ukumbi wa kuhesabia kura Bomas Wakala Mkuu wa odinga anasema Bomas imekuwa chumba cha uhalifu akimaanisha haamini mchakato wa uhakiki
  18. BARD AI

    20 Wakamatwa kwa kuchochoea vurugu zilizoua watu 350 Afrika Kusini

    Polisi nchini Afrika Kusini wamewatia mbaroni watu 20 wanaoshukiwa kuanzisha machafuko ya Julai 2021 yaliyopinga kukamatwa kwa Rais Mstaafu Jacob Zuma. Takriban watu 350 waliuawa kwenye machafuko hayo yaliyozuka muda mfupi baada ya aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kufungwa jela kwa...
  19. waziri2020

    Vurugu zaibuka msiba wa watoto matajiri wa Arusha, mwandishi wa Ayo TV anyang'anywa camera

    Katika hali isiyo ya kawaida vurugu zimeibuka katika msiba wa watoto wawili wa matajiri jijini Arusha ambao walikuwa ni wachumba waliofariki ajalini jana ambapo zimepelekea mwandishi wa habari kutoka AyoTV kunyang’anywa camera. Mbali na kunyang’anywa camera mwandishi huyo alinyang’anywa kadi...
  20. M

    SI KWELI Polisi nchini Kenya yapiga marufuku Maandano ya kupinga kuondolewa kwa wamasai wa Loliondo

Back
Top Bottom