vvu

The Valley View University is a private university located in Oyibi, Accra in the Greater Accra Region of Ghana. It forms part of a worldwide system of over 100 tertiary institutions operated by the Seventh-day Adventist Church.It is a part of the Seventh-day Adventist education system, the world's second largest Christian school system.

View More On Wikipedia.org
  1. Waliozaliwa na VVU na Vijana wanaojiuza kwa Watu Wazima watajwa kuwa chanzo cha ongezeko la Maambukizi ya Virusi Vya UKIMWI

    Kwa mujibu wa taarifa ya Chuo Kikuu cha Hospitali ya Aga Khan cha jijini Nairobi, sababu mbili zimebainika kuwa chanzo cha ongezeko hilo na Moja wapo ni Watoto waliozaliwa na Maambukizi ambao sasa wamekuwa vijana au Watu wazima kujihusisha na Ngono bila kuchukua tahadhari. Dkt. Adeel Shah...
  2. ATM Maalum ya kutolea Huduma za Vipimo vya Maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU yazinduliwa Mbeya

    ATM maalum ya kutolea huduma za vipimo vya maambukizi ya Virusi vya Ukimwi VVU ijulikanayo kwa jina la “Jipime”, ( HIV Self Testing) imezinduliwa Jijini Mbeya kwa lengo la kuhamasisha wananchi kupima na kutambua afya zao ili kujilinda dhidi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Huduma hiyo...
  3. Wananchi wapewa rai kujitokeza kupima kwa hiari VVU

    WAZIRI MHAGAMA: JITOKEZENI KUPIMA VVU KWA HIYARI Wito umetolewa kwa wananchi kuendelea kujitokeza kupima VVU kwa hiari ili kujua hali zao ili kuendelea kuishi kwa kuzingatia matokeo, kwa wale ambao hawatakutwa na maambukizi ni nafasi kwao kuendelea kuishi ili wasiambukizwe na wale ambao...
  4. Waziri Jenista Mhagama: Vijana Kati ya Miaka 15-24 Waongoza Maambukizi ya VVU - UKIMWI

    Imeelezwa kuwa kundi la vijana kati ya umri wa miaka 15 mpaka 24 wanaongoza kwa kuchangia maambikizi mapya ya VVU – UKIMWI ambayo ni sawa na Asilimia 40 (40%). Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ameyasema hayo mapema...
  5. Maambukizi mapya ya VVU yamepungua kutoka 7% hadi 4.3%

    Imeelezwa kuwa kasi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI imepungua kutoka Asilimia 7% Mwaka 2003 hadi kufikia Asilimia 4.3% Mwaka 2022. Hayo yamesemwa na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Grace Magembe, akimuwakilisha Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu wakati akiongoza ujumbe wa wageni...
  6. Tanzania kuanza uzalishaji wa Dawa za Kufubaza Makali ya VVU (ARV)

    Ziara ya kimkakati iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan nchini India, imezaa matunda katika sekta ya afya baada ya nchi hizo mbili kuingia makubaliano ya kuanzisha kiwanda cha dawa, huku dawa za kufubaza makali ya virusi vya Ukimwi ARV ni miongoni mwa zitakazozalishwa. Makubaliano hayo ya...
  7. Naibu Waziri Khamis Hamza akumbusha Wananchi kuchukua Tahadhari juu ya Maambukizi Mapya ya VVU na Ukimwi

    Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia masuala ya Muungano na Mazingira Mhe. Khamis Hamza ameiasa jamii kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya maambukizi mapya ya Virusi vya UKIMWI nchini kwa kuendelea kuzingatia elimu inayotolewa na Tume ya Kudhibiti UKIMWI nchini ili kuunga mkono...
  8. Uhaba Kifaa Cha Kuchunguza VVU Kwenye Vituo Vya Afya Zanzibar Unaathiri Vijana Kutambua Afya Zao

    KUMEKUWA na uhaba wa wa kifaa cha uchunguzi wa Virusi Vya UKIMWI ( HIV Kits) katika vituo vya afya vya serikali Zanzibar jambo ambalo limepelekea huduma ya upimaji wa Virusi Vya UKIMWI kusita. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika ziara iliyofanywa na Chama cha waandishi wa Habari Wanawake...
  9. Afikishwa Mahakamani kwa kumbaka na kumuambukiza VVU mtoto

    Deogratias Wiliam (45) Mkazi wa Mombasaraha Kata ya Butundwe Wilaya ya Geita amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu mkazi Geita akishtakiwa kwa makosa mawili ya kumbaka na kumuambukiza Virusi vya Ukimwi mtoto wa miaka 17. Mbele ya hakimu Mkazi wa Mahakama hiyo, Nyakato Bigirwa Wakili wa...
  10. 41% ya wenye VVU jijini Dar wamepata mimba zisizotarajiwa

    Taasisi ya Afya ya Ifakara imebaini kuwa asilimia 41 ya wanawake wanaoishi na virusi vya UKIMWI (VVU) Mkoa wa Dar es Salaam wamepata mimba zisizotarajiwa. Hali hiyo imeelezwa kutokea kutokana na asilimia 60 ya wanawake wanaoishi na virusi hivyo, kutotumia njia za uzazi wa mpango. Hayo...
  11. U

    Natafuta mwanamke mwenye VVU

    Habari zenu wakuu? Natafuta mwanamke anayeishi na VVU. Umri l kuanzia miaka 34 mpaka 45. Kwa aliye serious anipm. Au Kwa E-mail kakumbise5@gmail.com
  12. M

    True Story: Nimefanya ngono zembe na binti mwenye VVU, Leo siku ya 28 toka tukio. Nina stress ya hali ya juu. Nahitaji kupata neno la tumaini

    Wakuu ni alfajiri hii siku ya leo, usishangae kwa nini nimeshika simu nakukaa kuandika uzi huu badala ya kujifunika gubigubi blanketi, hapo ujue ni kuwa usingizi umenipaa na dakika kadhaa zilizozopita nimetoka kumaliza kumeza kidoge kimoja kukamilisha dozi yangu ya siku ya 28 ya dawa za PEP (...
  13. JKT yafafanua kuhusu vijana 147 waliokutwa na VVU

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesikitishwa na taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba vijana wake 147 wana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na kuambatanishwa na picha za vijana wengine wanaohudhuria mafunzo ya JKT makambini. Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kwa kipindi cha...
  14. Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

    Ilibainisha hayo jana bungeni ilipowasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli zake, taarifa hiyo ilisomwa na mjumbe Yahaya Masare kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati. Masare, Mbunge wa Manyoni Magharibi, alisema JKT hupokea vijana ambao wamehitimu kidato cha sita ambao huripoti kambini kwa...
  15. Wafungwa na Mahabusu wenye VVU Nchini wanalishwa Ugali Maharage kila siku

    Taarifa iliyowasilishwa Bungeni kupitia Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Masuala ya #UKIMWI na kueleza kuwa Wafungwa na Mahabusu Tanzania wanapewa aina moja ya Chakula kila Siku. Kutokana na hilo, Afya za #Wafungwa walioathirika na Virusi vya UKIMWI na wanaotumia Dawa za Kupunguza Makali ya Virusi...
  16. SI KWELI Mate hubeba VVU hivyo kubusiana kunaweza kuwa chanzo cha maambukizi

    Mdau mmoja wa Jamiiforums ameonesha wasiwasi wake baada ya kwenda hospitalini kupima VVU ambapo tofauti na namna alivyotarajia, daktari wake alimpima kwa kutumia mate yaliyotolewa kwenye fizi ya juu na chini. Jambo hili limemfanya atoe ushauri kwa watu kuwa makini wanapokuwa wanabusiana kwa...
  17. Kumbe VVU inaweza kuambukizwa kwa njia ya mate (busu)? Tujiadhari

    Kama inavyojulikana njia ya mtu kuambukizwa VVU ni kipitia kujamiana ukiachana na njia zingine kama kuwekewa damu ya muathirika n.k Leo nimeenda mazingira Fulani mkoani kilimanjaro kwa ajili ya kucheck vipimo n.k, vipimo ambavyo tunavijua kwa wingi ni rapid test zile SD Bioline. But nimekutana...
  18. Rais Samia: Punguza umri wa mwanamke kuolewa + Piga marufuku muziki wa amapiano ili upunguze kasi ya maambukizi ya VVU

    Ni HIVI wote tumesikia leo kuhusu takwimu za maambukizi mapya ya vvu nchini na kwamba asilimia kubwa ni vijana wenye umri kati ya miaka 15 HADI 20. Nini KIFANYIKE KUPUNGUZA kasi ya maambukizi? Solution zinaweza kuwa nyingi lakini Kati ya hizo Nina amini zifuatazo zinaweza kusaidia KUPUNGUZA...
  19. Mwaka 2021, 70% walioambukizwa VVU Tanzania ni Wasichana

    Takwimu za Maambukizi mapya ya VVU zimeonesha Wasichana wenye miaka 15-24 walioambukizwa VVU kila wiki walikuwa 212, sawa na wastani wa Maambukizi mapya 30 kila siku. Kwa mujibu wa WHO, hadi kufikia mwishoni mwa mwaka 2021 kulikuwa na watu milioni 38.4 wanaoishi na VVU Duniani kote, ambapo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…