The Valley View University is a private university located in Oyibi, Accra in the Greater Accra Region of Ghana. It forms part of a worldwide system of over 100 tertiary institutions operated by the Seventh-day Adventist Church.It is a part of the Seventh-day Adventist education system, the world's second largest Christian school system.
Wabunge walalamikia ongezeko la matumizi ya P2, watu milioni 1.7 wanaishi na VVU
Wabunge wa Tanzania wamesema matumizi ya dawa za dharura za uzazi wa mpango zinazojulikana kwa jina la P2 kuzuia mimba kwa wasichana wenye umri wa miaka 14-24 yanaongezeka.
Wabunge katika kamati ya afya walikuwa...
Dar es Salaam.
Mchakato wa kuwapata watu 200,000 waishio na virusi vya ukimwi bila kujua ni mbinu mojawapo ambayo Wizara ya Afya imesema itaitumia ili kupunguza maambukizi mapya na kufikia malengo ya milenia mwaka 2030.
Pamoja na hayo Wizara imesema inakusudia kupunguza idadi ya watoto...
Habari wakuu
Katika kujipima kutumia bioline nimejikuta nimejichoma sindano niliyokuwa nimemchoma mtu mwenye HIV
Sasa nilikuwa mbali kidogo na eneo la kituo cha afya kwahiyo kesho yake ikanibidi niende kituo cha afya mida ya saa nane nikawaelezea wakanipa dawa ya pep imeandikwa LTD m...
PrEP ni nini?
Pre-exposure prophylaxis au PrEP ni matumizi ya dawa za kupunguza makali ya VVU na watu wasio na VVU ili kuzuia upatikanaji wa maambukizi ya VVU.
Tangu Septemba 2015, WHO imependekeza kwamba watu walio katika hatari kubwa ya kuambukizwa VVU, wanaojulikana kama watu walio katika...
Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...
Chanjo ya VVU ambayo imekuwa ikisubiriwa kwa shauku sana ya Johnson & Johnson imeshindwa kuonesha uwezo wa kutosha katika jaribio lililohusisha zaidi ya wanawake 2,600 Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Ingawa chanjo ilionekana kuwa salama, bila athari mbaya, ufanisi wake katika kuzuia maambukizo ya...
Wapendwa mimi ni dada ninayeishi na virus vya UKIMWI na ninapenda kufanya kazi na taasisi zinazohusiana na mambo ya UKIMWI, nawaomba sana mtu yoyote anayezijua hizi taasisi aniunganishe nina elimu ya chuo nimesomea sociology.
Naomba msaada wenu
WIZARA YA MADINI YAWASILISHA MPANGO MKAKATI KUPUNGUZA MAAMBUKIZI YA VVU NA TB MIGODINI
Na. Emmanuel Kasomi - Dodoma
Wizara ya Madini kwa kushirikiana na Tume ya Madini na Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imeandaa Mpango Mkakati wa Usimamizi wa Masuala ya UKIMWI (VVU)...
Wapendwa habari, mimi ni mama mwenye miaka 35 natafuta Rafiki wa kiume mwenye anaishi na vvu, nahitaji mwenye hali kama yangu ili kuepusha unyanyapaa.
Vigezo awe 35 na kuendelea awe mchapakazi, msafi pia yaani anayejipenda na awe na hofu ya Mungu.
Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa.
KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
Awali ya yote nimshukuru Mungu aliyetupatia uzima na afya mpaka tulipofika sasa. Pia, niwapongeze wanajamii kwa kuendelea kufuatilia machapisho mbalimbali katika ukurasa wetu huu pendwa.
KARIBU UFAHAMUJUU YA MPANGO UJULIKANAO KAMA 95-95-95: Naomba twende pamoja mwanajamii mpaka mwisho...
Habari wana jamvi, natumai hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye mada
Ilikua ni siku ya alhamisi shuleni x nilipokua A - level mida flani hivi ya jioni nimetoka zamgu kupiga kujisomea narudi bwenini, kuingia kwenye room ninapolala nikakuta kuna ugomvi wa masela wawili wote wa ile room.
Kwakua...
Habari wakuu,
Naomba kujua bei ya kipimo cha VVU kile cha kujipima mwenyewe, sijui kisayansi kinaitwaje nadhani wajuvi mtakuwa mmenielewa.
Na je kinahitajika hicho tu au kuna viambata vingine. Nikipata maelekezo jinsi ya kukitumia nitashukuru sana.
Natanguliza shukrani.
Corona inaambukizwa kwa kishaka au kushika sehemu yenye virus na kuweka mkono wenye virus machoni au mdomoni.
Zinaa au tendo la ndoa haliwezi kufanyika bila kugusana na viungo vinavyoweza kutumika kwenye mchakato wa tendo ni mdomo.
Tishio la corona limewaweka watu mbali, limewafanya baadhi ya...
Idara ya Chakula na Dawa nchini Marekani (FDA), imeidhinisha dawa aina ya "Cabenuva" iliyoundwa dhidi ya virusi vya Ukosefu wa kinga ya mwili (VVU) kutumika mara moja kwa mwezi.
Maafisa wa Marekani walitangaza kwamba idara hiyo ya FDA imeidhinisha dawa inayoitwa "Cabenuva", ambayo inaingizwa...
Tanzania na Uganda zimetajwa kuwa kati ya nchi nne za Afrika kushiriki kwenye majaribio ya chanjo ya virusi ya UKIMWI, ikiwa ni sehemu ya jaribio la kwanza barani Afrika kujaribu chanjo mbili mpya dhidi ya VVU. Imearifiwa kuwa tayari majaribio yameanza wiki hii nchini Uganda na Afrika Kusini...
Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu baada ya kumfanyia vipimo mnamo katikati ya mwaka 1995 ambapo wanajeshi wote wa jeshi la majini...
Utafiti wa vipimo vya awali vya Virusi vya Ukimwi(VVU) kwa vichanga waliozaliwa na akinamama wenye maambukizi umeonesha vipimo vipya vimefanya vizuri asilimia 100.
Utafiti wa ‘BABY’ uliofanywa na Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) kwa kipimo cha Early Infant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.