Maambukizi mapya kwa vijana kati ya miaka 15 hadi 24 yamezidi kuongezaka huku wasichana wakiwa vinara katika janga hilo. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Ajira, Uratibu wa Bunge, Vijana na Watu Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama, alisema hayo jana katika maadhimisho ya Siku ya Ukimwi...