vyama si project

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Bashiru Ally: Vyama vilivyoshiriki uchaguzi mkuu ni vyama vyenye ushindani na wala si PROJECT ya CCM

    “CCM ni chama cha kitaifa, chama ambacho kimeenea nchi nzima- Zanzibar na Tanzania bara, hakina sababu ya kuwa na ushirikiano wa vyama kama ‘vyama project’. Hivi ni vyama kamili, vyenye usajili kamili, vyenye nguvu zinazopishana na vilivyoshindana kulingana na uwezo wake na kwa hiyo vina haki ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…