DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
“CCM ni chama cha kitaifa, chama ambacho kimeenea nchi nzima- Zanzibar na Tanzania bara, hakina sababu ya kuwa na ushirikiano wa vyama kama ‘vyama project’. Hivi ni vyama kamili, vyenye usajili kamili, vyenye nguvu zinazopishana na vilivyoshindana kulingana na uwezo wake na kwa hiyo vina haki ya kuheshimiwa kama vyama vingine”- Dkt. Bashiru.
Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Bashiru Ally akizungumza na mtangazaji Chief Odemba wa kipindi cha Medani Kuu cha Star TV.