Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani kikishinda, hakina uhuru wa kweli wa kufanya mabadiliko kwa sababu:
1️⃣ Mfumo wa Demokrasia Umewekwa...
Wakuu,
Katibu wa Siasa Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Mohamed Msalu amesema kuwa nchi ya Tanzania ni ya vyama vingi hivyo linapokuja swala la uchaguzi ni lazima ufanyike kwa mujibu wa taratibu za uchaguzi hata kama chama kimojawapo cha siasa...
Bunge la Job Ndugai
Bunge la Anne Makinda
Bunge la Samweli Sitta
Bunge la Pius Msekwa.
Bunge la Tulia Akson
Lipi lilikidhi Kiu yako na uliona kama faida kwa nchi na lipi halijawahi kukata kiu yako na unaliona kama hasara kwa nchi?
Uwanzishwaji na uwendeshaji wa vyama vya siasa vya Tz nigiza nene kiasi ukiingia nikama umenasa kwenye ulimbo usijuwe palitokea.
Hakuna mtu atakaye nielewa kama hukuwahi kugoma kwenye vyuo huwezi nielewa ila nataka kusema nibora hata visingekuwepo maana huu ni mtego wa panya na hakuna...
Mwl. Nyerere alishituka Ile 80% waliokataa vyama vingi nchini. Sio wananchi ni viongozi makada wa CCM ndio waliokataa mifumo ya kidemokrasia hadi leo?
Je ni maelekezo au ni Falsafa ya 4R kutoka kwa Mh. Rais Samia. Ndio uliokipa ushindi wa chama chake wa 98.9% kwenye uchaguzi wa serikali za...
Ni uongo kusema ya kwamba Tanzania inafuata mfumo wa vyama vingi. Ni kwamba serikali ya Mwinyi ya mwaka 1992 iliruhusu uwepo wa vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja. Na hili ndio tatizo, vyama vingi vipo ila mfumo ni wa chama kimoja.
Ili mfumo uitwe wa vyama vingi inatakiwa yafuatayo...
Uchaguzi wa serikali za mitaa 2024
ENEO LA UCHAGUZI
IDADI
CCM
UPINZANI WOTE
CCM PEKEE
MITAA
4,265
4,265
3,256
1,009
VIJIJI
12,274
12,274
5,879
6,395
VITONGOJI
63,863
63,863
20,000
43,863
80,402
80,402
29,135
51,267
Misuguano kidogo tu polisi washatoa barua. Hii nchi ina mfumo wa vyama vingi na ni kawaida kushindana kisiasa.
Uchaguzi wa serikali za mitaa mnaandika barua za nini?
Mimi sio mfuasi wa chama chochote cha siasa ila kama mtanzania naona watu wanastahili kuwa na uhuru wa majadiliano na...
"Uchaguzi wa Marekani umeisha, Wachambuzi rudini kuchambua uchaguzi wa Vijiji na Mitaa. Kuna mambo mengi ya kutazama. Sura ya siasa imebadilika kabisa.
1. Huu ni uchaguzi wa namba, ukubwa wa oganaizesheni ya chama unapimwa kwa idadi ya wagombea na namna wamesambaa nchini. Idadi ya wagombea...
Sio bahati mbaya rais Samia amekwenda Marekani wakati huu taifa hilo lenye nguvu zaidi duniani likiwa katikati ya mtanange mkali wa uchaguzi. Na mara hii ni kati ya mhafidhina Donald Trump na mwanamama Kamala Harris.
Mtu hawezi kushindwa kufikiri kuwa kimya kimya rais Samia amekuwa kwenye...
Kwa masikitiko makubwa, nashangaa kuona eti maisha na uhai wa watu unaweza kukatishwa kwa sababu zinazoitwa ni Siasa!
Ni ujasiri uliopita kiwango cha Rehema za Mungu, mtu anapoamua kumdhuru mtu, kumtesa na kumwaga damu yake kwa madai ya kuendelea kubaki kwenye nafasi za kisiasa huku akijua...
Mwalimu nyerere aliwahi sema kwamba Demokrasia inabidi iendane na sehemu husika akiwa na maana Nchi moja inaweza tofautiana na nchi nyingine mfumo wake wa Demokrasia.
Marekani wana Demokrasia yao ,wameamua kuvipa nguvu vyama ili kusaidia vyombo vya usalama kufanya kazi yake au vetting kwa ajili...
Ndugu zangu Watanzania,
Mpaka sasa Mheshimiwa Daktari Jakaya Mrisho Kikwete Rais Mstaafu wa awamu ya nne anashikilia rekodi ya kupata kura nyingi na kwa asilimia kubwa katika awamu yake ya kwanza tu katika kutafuta nafasi ya kuingia ikulu tangia mfumo wa vyama vingi uanze.
Napenda...
Wanajamvi na kuja kwenu na uliza anayejua tumepata faida gani Tanzania kwa kuwa na vyama vingi atuambie
Tanzania ni nchi ya Kidemokrasia inayofata mfumo wa vyama vingi.
Swali je tumepata faida gani toka mfumo wa vyama vingi?
PIA SOMA
- Tanzania yenye vyama vingi vya siasa, sawa na Tanzania...
Makala: Vyama Vingi ni Chanzo cha Ufisadi na Umaskini Tanzania?
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika mchakato wa demokrasia kwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi. Hata hivyo, suala la vyama vingi limekuwa na mjadala mkali, huku baadhi ya watu wakidai kuwa mfumo huu...
Salaam, Shalom!
Swali hili nimekuwa nikujiuliza kitambo sasa kuwa, Ulipoasisiwa mfumo wa Vyama vingi July 1, mwaka 1992, CCM iliyokuwa chama pekee katika mfumo wa chama kimoja, ilipata usajili UPYA na kujitenga na kujishikamanisha na system?
Maana ukikiangalia chama hiki Kwa nje ni kama chama...
Hii namna ya uenezi inanitia hofu.
Hivi adidu rejea za nafasi hiyo ndio zinamwelekeza kusema haya?
Halafu wakati huo huo anazungumzia uboreshaji wa demokrasia! Upendo baina ya wana-CCM au watanzania?
https://youtu.be/CwkIX4svNRk?si=R_Cl1Q9ttomNVBp-
Mapungufu madogo madogo na kasoro chache zilizopo, vipo pia kila mahali inapotekelezwa demokrasia ya aina ya Tanzania, mathalani Marekani na kwingineko.
Na kwasababu hiyo uchaguzi huru na wa haki Tz upo, Tume huru ya uchaguzi Tz ipo, Utawala wa Sheria na utawala bora Tz upo, heshima kwa haki za...
Nimeambatanisha Ripoti ya mapendekezo ya Kamati. Lakini nitayaorodhesha mapendekeo hayo hapa:-
Kuhusu Mikutano ya hadhara na Mikutano ya ndani ya Vyama vya Siasa
Kuhusu demokrasia ndani ya vyama vya siasa
Kuhusu ruzuku kwa vyama vya siasa inayotolewa na Serikali.
Kuhusu uhuru wa Tume ya Taifa...
Katiba iliyopo ni ya mfumo wa chama kimoja ambacho ni CCM na ilitungwa na CCM mwaka 1977.
Tanzania hatuna mfumo wa vyama vingi, bali tuna mfumo wa chama kimoja (CCM), ambamo kuna vyama vingi ndani yake. Kwa ufupi tuna vyama vingi ndani ya mfumo wa chama kimoja - CCM.
Kamwe CCM hakiwezi kuleta...