Mama Samia kanyaga twende! Wtz hawakujua maana ya vyama vingi wakavikataa lakini Nyerere kwa uzoefu wake akasema vyama vingi ni muhimu na matunda yake tunayaona, kwahiyo akina Mbowe wajue kwamba hata wapige kelele kiasi gani kama Rais kaona DP world ni muarobaini basi acha afanye kazi matunda...
Hofu ni Hali tu na Wala sio hoja. Watanzania tumeendelea kuwa mahodari wa hofu wasio na hoja.
Nakumbuka mwaka 1992 wakati wa mjadala wa Nchi kuwa na mfumo wa vyama vingi, wengi sana walipinga kwa kujazwa hofu. Wachache walioelewa wakiongozwa na Baba wa Taifa, wakaunga mkono KWA HOJA, kuwa Nchi...
Ndugu zangu watanzania,
Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika...
Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kikosi Kazi cha Kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama Vingi vya Siasa Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Oktoba, 2022
Mapendekezo 18 ya Ripoti yanasomwa na Prof. Rwekaza Mukandala
Kikosi kazi...
Wana JF,
SALAAM!
Nawauliza kuna tatizo gani nchini KWETU hususan kwa hawa wanaojiita watetezi wa wananchi kupitia forums za vyama vya siasa. Naona kila jambo linaloanzishwa na Serikali liwe zuri au baya linapita bila kikwazo.
Mfano:-
(a). Tozo. - hizi zimeanzishwa kimzahamzaha lkn mwisho wake...
Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayotumika kwa sasa ni ya demokrasia ya Chama kimoja.
Amesema hali hiyo imechangia kuwa na demokrasia dumavu ambayo inapelekea kuchelewa kwa maendeleo, ambapo amedai kuwa kuna uhusiano wa...
Kongamano la kujadili Mafanikio na Changamoto za Kidemokrasia, Utawala wa Sheria na Ushiriki wa Umma, Dar es Salaam.
GEOPHREY PINDA (NAIBU WAZIRI KATIBA NA SHERIA): Tanzania hakuna Sheria mbovu, bali tuna Sheria zilizopitwa na wakati, zinazohitaji kufanyiwa marekebisho ili kuendana na wakati...
Alipambana kwa kila namna ili mfumo wa vyama vingi uwepo nchini
👇
--
Ukikutana naye mitaa ya Mwananyamala wilayani Kinondoni au pembezoni mwa Barabara ya Ali Hassan Mwinyi hutajihangaisha kumfuatilia.
Begani hubeba mfuko wa chupa za plastiki au wakati mwingine kuni, sawa na wale watu...
Hivi majuzi nilitakiwa nitoe maoni kuhusu miaka 30 ya mfumo wa vyama vingi vya siasa Tanzania tangu 1992. Ni suala ambalo naulizwa mara nyingi ila majibu yangu hayazingatiwi au hupuuzwa, pamoja na ukweli au uhalisia wa hoja zangu.
Uhalisia ni kwamba Tanzania haina mfumo wa vyama vingi vya siasa...
Ameandika Rais Samia Suluhu Hassan:
Tanzania inatimiza miaka 30 tangu turejee rasmi katika siasa za mfumo wa vyama vingi katika kipindi hicho, Taifa letu limepitia kipindi cha furaha, majonzi, misukusuko na changamoto zote wakati Taifa linapoanza njia mpya. Jambo hili si jepesi, kwa sababu...
Kwanza kabisa niweke Wazi mimi sio mfuasi wa mfumo wa vyama vingi sababu
1. Unagawa watu hivyo ni rahisi kuingia katika machafuko
2. Ni rahisi kwa Baadhi ya viongozi wa vyama kuhujumu Nchi kwa kudhaminiwa na Mataifa ya Nje
3. Nchi zetu za Afrika bado changa kuwa mawazo mbadala kutoka vyama...
Habari zenu ndugu zangu, Ama baada ya salam, leo ningependa kuwaletea list ya wenyeviti wa vyama wabovu toka mfumo wa vyama vingi uanzishwe, huku nikiambatanisha na makosa yao waliofanya kupitia vyama vyao.
4) Mbatia - Huyu jamaa huwa anajifanya ni mpinzani, ila kiuhalisia sio mpinzani na...
Fuatilia matangazo ya moja kwa moja kutoka Ikulu jijini Dar Es Salaam ambapo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Samia Suluhu Hassan anapokea taarifa ya kikosi kazi cha kuratibu maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa leo tarehe...
Ni wazi CCM wanaamini kukosoana wenyewe ni kosa la jinai na hasa kumkosoa mwenyekiti ni dhambi isiyovumika!!
Vyama upinzani wanayo hii pia, Ila kwakuwa mada inawaangazia hao mashujaa watatu, ndipo nimeitaja CCM!
Ndani ya CCM usikosoe serikali hadharani
Watakushughulikia kungali kweupe!
Hii...
Duniani leo nchi za kijamaa (communism) zimebaki chache sana. Imebaki China, Vietnam, Cuba, Tanzania na zingine mbili tatu. Mtu anayesema Tanzania siyo nchi ya kijamaa anakuwa anakosea sana. CCM chama kinachoongoza nchi yetu ni chama cha kijamaa. Katiba yetu inasema hivyo, na hata sheria na...
Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali aina hii ya siasa kwa shingo upande kwa kulazimishwa.
Wakati wazungu wanaileta kwetu aina hii ya...
Friends and Enemies,
Muda unakimbia Sana,mwaka 1992 tulipoingia kwenye vyama vingi na kuanza kwa uchaguz wa kwanza wa vyama vingi 1995,unaweza dhan kama ni majuz tuh,lakin ni miaka zaid ya ya miaka 26 hizi sura z hawa wanaojiita wapigania demokrasia ndan ya nchi hii hazijawahi kubadilika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.