vyama vingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    CCM ijitahidi kutenda mambo mazuri ili kutoviharibu vyama vingine vinavyoiga yanayofanywa na CCM

    CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
  2. Crocodiletooth

    Wanaccm tukumbuke kulipia kadi zetu za uanachama, tuonyeshe vitendo na mifano kwa vyama vingine!

    LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU: Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu. Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe mwanachama zingatia namna zifuatazo katika vipeperushi(bango) jinsi ya kulipa Ada kupitia mitandao...
  3. Determinantor

    Pre GE2025 Kitatokea nini endapo vyama vingine vya upinzani vitajiunga na maandamano ya CHADEMA?

    Kuna swali tu nimejiuliza hapa, what if tule tu vyama vingine vya Upinzani vitajiunga kwenye maandamano yanayoratibiwa na CHAMA KIKUU CHA UPINZANI? Kisheria ikoje? Itabidi na wao wakaombe kibali cha maandamano?? swali la ziada, je maandamano haya hayaweze ku-escalate na kuwahusisha watu wote...
  4. Mwanamayu

    Je, kama vyama vingine vya siasa Tanzania vina nia nyingine, kwanini haviondolewi kwenye usajili?

    Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote. Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM? Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
  5. DR Mambo Jambo

    Kipi kinafanya Rasimu ya katiba ya warioba ikose uhalali kwa Serikali na CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani kuipigia kelele kuhalalishwa?

    Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
  6. Allen Kilewella

    Pre GE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  7. Allen Kilewella

    CHADEMA inazuia Watanzania kuanzisha vyama vingine vya Siasa?

    Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania. Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM...
  8. Allen Kilewella

    Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  9. Chachu Ombara

    Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  10. dubu

    Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  11. N

    John Cheyo: Hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vyama vingine

    Mwenyekiti wa Chama cha UDP anasema hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vingine. "Tunaona kuna chama tawala na kuna chama kinajiita sisi kikubwa!, hakuna chama cha upinzani kikubwa kuliko vingine, namshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mchakato wa Katiba mpya uwe...
  12. K

    Rais Samia: CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine

    "Ikumbukwe kuwa CCM inatakiwa kuwa mfano wa kuigwa na vyama vingine hivyo, katiba sheria na kanuni lazima zifatwe.”-Rais Dkt. Samia Suluhu ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) amezungumza hayo wakati akifungua mkutano wa kumi wa CCM uliofanyika leo mkoani Dodoma. Katika...
  13. B

    Kwanini CHADEMA wanaonekana wa muhimu kuliko vyama vingine awamu ya sita?

    Chadema wamesimama imara na misimamao Yao imewafanya waitwe ikulu Kwa heshima na siyo kwenda tu: lakini pamoja na nguvu waliyonayo kwanini wanavifanya vyama vingine kama siyo wapinzani? Akina Lipumba na Zito hata Mbatia wamepotelea Wapi kwenye ramani ya siasa? Lakini pia kuitwa kwao ikulu...
  14. Q

    Mapendekezo yoyote ya kuboresha Tume ya Uchaguzi yatainufaisha CHADEMA zaidi dhidi ya vyama vingine

    Kilichopelekea Chadema kufanya vibaya uchaguzi uliopita pengine ni kukosa Uhuru wa Kufanya Siasa, Uhuru wa kuwafikia watu, uhuru wa kufanya mikutano ya hadhara, uhuru wa mikutano ya ndani, na kikubwa zaidi ni muundo mzima wa uchaguzi. Kwahiyo baada ya uchaguzi wa 2020, Chadema wakaanza kudai...
  15. JERUSALEM 2006

    Sekretarieti ya CCM mnafanya mikutano ya hadhara kama wabunge wa wapi?

    “Kwa sasa tunaruhusu mikutano ya ndani, isipokuwa kwa wabunge wenye majimbo” Samia Suluhu Hassan, Madam President. Sasa nyie Secretariat ya CCM mmeenda Zanzibar mkafanya mkutano huko mpaka watoto wadogo wakaanza vijembe kwa kina Mbowe. Sasa mko Mikoa ya Songwe na Rukwa, huyu katibu mwenezi...
  16. T

    CCM wadai kuwa na wanachama hai milioni 12. Natamani kusikia kwenye database ya vyama vingine

    Kama tujuavyo kuwa kwenye shughuli ya siasa mtaji ni wanachama, CCM wanadai kuwa wana wanachama hai wapatao milioni 12. Ningetamani kujua na vyama vingine waweke data za wanachama wao hadharani. Hii itasaidia sana kuwahamasha makada kufanya mapitio ya mipango na mbinu mbalimbali za kuongeza...
Back
Top Bottom