Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera, Ndg. Faris Buruhani, amewataka wananchi wa Kata ya Kibingo, Wilaya ya Kyerwa, kuacha tabia ya kuwachagua viongozi wa vyama vya upinzani na badala yake waendelee kuiunga mkono CCM.
Kupata matukio na taarifa zote kwa...
Kwa namna ya pekee sana, Chadema wameamua kujimaliza wenyewe kwa kujiengua na kususia uchaguzi mkuu wa October mwaka huu 2025, na kukwepa kisayansi aibu ya kushindwa vibaya sana na chama Tawala CCM.
Hali hiyo inamaanisha kwamba,
vyama vya CUF, NCCR MAGEUZI, ACT-Wazalendo na vyama vingine vya...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amesema kuwa maridhiano ndani ya vyama vya upinzani yamekuwa yakileta madhara na kuwajeruhi, na kwamba wamejifunza kutokana na yaliyotokea kipindi cha nyuma.
Akizungumza na Wanahabari Lipumba amesema kuwa kuna watu wanaotafuta...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) taifa Tundu Lissu akizungumza wakati wa mkutano kati ya CHADEMA na Jukwaa la Wahariri (TEF) amesema Vyombo vya Habari vyote nchini havitendi haki katika kuripoti masula ya Uchaguzi kwa vyama vikuu vya upinzani.
Soma: Hali ya Vyombo vya...
Ninawahakikishia, Siku mtakayotoa Kauli Moja tu ya kwamba, HAMTASHIRIKI UCHAGUZI WOTE BILA MABADILIKO , mchakato waabadiliko hayo utaanza mara Moja .
Waachieni CCM uchaguzi wao, wajifanyie Kampeni wao, wajichague wenyewe !!.
Achanane na Hadaa za muda mfupi za CCM , kwamba zitakupa Ruzuku ...
Wakati CCM tayari imeshateua mgombea uraisi wa JMT na ule wa Zanziba pamoja na kuchagua mgombea umakamo wa Raisi waJMT. Vyama vya upinzani havijulikani vinafanya nini, mfano TLP, NCCR, CUF, na ACT sijui hata kama bado viko hai. Tunajua CHADEMA wao baada ya uchaguzi ni mwendo wa kusindikizana...
Katibu wa jumuiya ya Wazazi Ally
Hapi amewataka vyama vya upinzani kuacha visingizo vya kukimbia mapambano ya uchaguzi kwani mabadiliko wanayoyataka wapinzani tayari Watanzania wameshayapata.
Ameeleza kuwa mabadiliko hayo yameletwa na Rais Samia, ambapo mabadiliko hayo ni uwepo wa maji na...
Wakuu NCCR nao nao wanadai hawapo kuunganisha nguvu na chama chochote cha upinzani, wanasahau kidole kimoja hakivunji chawa
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar...
Nini hasa unadhani kimepelekea vyama vya upinzani nchini, kupuuza na kuukalia kimya wito wa kuunganisha nguvu ya upinzani kisiasa na kiongozi mpya wa Chadema Taifa, kuelekea uchaguzi mkuu wa October mwaka huu2025?
Ni hisia za ulaghai na utapeli wa kisiasa dhidi ya mipango ya vyama vyao, na...
Kasumba ya kushughulikiana na kukomoana hususan ndani ya vyama vya upinzani nchini itaendelea hadi kwenye sanduku la kura za jumla uchaguzi mkuu wa October 2025.
Kuna wagombea watakomolewa na wafuasi wa vyama vyao, hawatapigiwa kura kwasasababu tu ya midomo yao, makelele yao, hila zao...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa kimeshafanya mazungumzo na vyama vingine vya upinzani kwa lengo la kuungana na kuikabili Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi ujao.
Kauli hiyo imetolewa Februari 9, 2025, na Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, alipokuwa kwenye mkutano katika...
act
ccm
chadema
chaumma
cuf
fedha
imara
kiuchumi
kuelekea 2025
kuunga mkono
mkono
mkuu
taifa
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
uchumi
udiwani
ukata wa fedha
uongozi
upinzaniupinzani kuungana
urais
vyamavyamavyaupinzani
wagombea
zaidi ya
Vyama vya upinzani vijifunze ulaya na Marekani kunapokuwa na swala la kitaifa wamoja na Chama tawala
Mfano nchi za ulaya na marekani wakiamua kuinyonya Africa au nchi ikishambuliwa vyama vyote tawala na upinzani huwa kitu kimoja
Pia ikitokea mfano kuna mkutano mkubbwa wa kimataifa unafanyika...
Mimi nikiona mtu analaumu wasanii kwenda kwenye events za CC EM kufanya show huwa namshangaa sana!!Wasanii ni wafanya biashara, wame invest kwenye hiyo biashara ya muziki na wanahitaji return….
Kama ambavyo wewe umewekeza kwenye biashara yako, huwezi kubali upate hasara!!Show moja ya CC EM...
Mwanaharakati huru Cyprian Musiba amedai kuwa viongozi wengi wa vyama vya upinzani nchini si wa kweli na wanatumia nafasi zao kama chanzo cha kipato badala ya kutetea maslahi ya wananchi.
Akizungumza wakati wa mahojiano na Jambo TV, Musiba amesema vyama vya upinzani vimegeuka kuwa ajira kwa...
Happy new year .
Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani.
Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies .
Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni tupeane
Raila Odinga:
"Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
Friends, ladies and gentlemen.
Je ni kweli kwamba umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu?
Inaonekana kwenye siasa za Tanzania hasa upinzani, chuki binafsi, migawanyiko, uhasama na utengano miongoni mwa vyama vya siasa eti ndiyo huleta nguvu na ndiyo kipaumbele chao kwa sasa.
Kitendo cha...
Uchaguzi umekaribia , ni vyema wagombea wa Upinzani wakawekwa wazi mapema watanzania tuwatathimini na kuwachambua.
Tundu Lissu ndiye mwanasiasa mwenye ushawishi zaidi, yupi unadhani pia anaushawishi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.