vyama vya upinzani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Accumen Mo

    Vyama vya upinzani hususani CHADEMA rekebisheni makosa mdogo mtafika mbali, Watanzania watawaunga mkono

    Wasalaam ndugu zangu, Kufuatia hali ya waandamaji na maoni ya baadhi ya watanzania kwenye mitandao ya kijamii, nimegundua CHADEMA hawana nguvu wala watu wengi kutoka na kukosa ushawishi. Chama cha CHADEMA kina misingi mizuri hasa ukiangalia sera zake za awali hata jina lake ni zuri (CHAMA CHA...
  2. Webabu

    Kama kuna vyama vya upinzani viliuliwa Basi CHADEMA wamejiua wenyewe

    Wananchi wanahaha kufikiria maendeleo mpaka wanaona waunde vya vya upinzani. Baadhi yao vyama vikishaundwa wanavitumia vibaya na kuviua kwa mikono yao. Chama cha Demokrasia na maendeleo ni moja ya vyama vilivyojiua vyenyewe kizembe kabisa. Na kama kulikuwa na mtu alitaka akiue Chama hiki basi...
  3. L

    Rais Samia: Wamesahau Misukosuko Waliyoipata Hapo Nyuma Mpaka wakaikimbia Nchi na Mimi Kuwarejesha kwa 4R Zangu

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Daktari Samia Suluhu Hasssan,ameongea kwa uchungu sana,kwa maumivu makali sana na kwa hisia kali sana zilizogusa mioyo ya watu wengi sana. Pale alipoelezea juhudi zake kubwa za kuliunganisha Taifa na kuwaleta pamoja watanzania...
  4. Tlaatlaah

    Kwa siasa anazofanya Mh. Luhaga Mpina kwa sasa, ni kuwaandaa kisaikolojia wananchi wa jimbo la Kisesa kwa ajili ya chama kipya au kuhama nao upinzani

    Friends, ladies and gentlemen.. Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025... Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
  5. Mr-Njombe

    Chungu na tamu ya wafuasi wa Vyama vya Upinzani Tanzania

    Salaamu wanaJF, Ni matumaini yangu mu wazima, naomba kuainisha mtazamo wangu kuhusu wafuasi na wanachama wa vyama vya upinzani nchini kama ifuatavyo. TAMU Asilimia kubwa ya wafuasi wa vyama vya upinzani tanzania wamekua mstari wa mbele kwenye kukemea maovu na kuishinikiza serikali kutengua na...
  6. amshapopo

    Pre GE2025 Kwa mwendo huu wa CCM na serikali kujitaja maovu yao, Wapinzani jipangeni 2025

    Ndugu zangu, Kwa yanayoendelea ya baadhi ya watu walio ndani ya serikali kutaja maovu yanayofanyika kipindi cha chaguzi zilizopita kuhujumiwa , napendekeza wapinzani msikubali kuwa kondoo. Daini haki yenu coz kwa kukaa kimya mnawapa vichwa hao wanaofanyia dhulma. Fanyeni mpango kuhakikisha...
  7. K

    Pre GE2025 Vyama vya Upinzani visije vikailaumu CCM kwa Chaguzi zinazokuja za mwaka 2024 na 2025

    Niseme ukweli CCM imejipanga kwa chaguzi zinazokuja. Huku Mitaani kwetu wanachama wanamiminika kila asubuhi kujiandikisha na kupewa kadi, semina na mikakati ya kushinda chaguzi zijazo. Vyama vya upinzani siwaoni huku Mitaani kwetu wakijipanga kwa chaguzi hizi. Vyama vya upinzani msije...
  8. J

    CHADEMA ni sawa na transfoma pozo, hutumika na CCM kuupoza Upinzani unapokuwa na nguvu kama enzi za UKAWA

    Hata sasa ACT Wazalendo ndio wanaweza kuleta mabadiliko kupitia Zanzibar na tayari Chadema wameshaanza kuipunguza Nguvu kwa kuwahadaa wasishiriki Mdahalo wa Odemba. Hata wakati wa Bunge la Katiba Mpya lile vuguvugu la Upinzani na kukubalika kwa Prof Lipumba, Mchungaji Mtikila na Dr Slaa...
  9. mwanamwana

    Pre GE2025 Boniface Mwabukusi: Tuna Vyama vya upinzani havijajiandaa kuwa mbadala wa CCM. Vipo kugaiwa neema ndogo ndogo kutoka CCM

    Nikiri kuna changamoto kwenye vyama vya siasa, mimi sipendi kuumauma maneno kwa sababu mimi kweli ni wakili, lakini mimi ni mwanasiasa ninavijua hivi vyama, vina changamoto kubwa, vinaumiza na kukatisha tamaa wananchi. Ni vyama ambavyo kwa kweli havionekani kujiandaa hasa kuwa mbadala wa CCM...
  10. J

    31 Agosti, 2024 kufanyika Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Dr Nchimbi, Mnyika, Shaibu na wengine Watashiriki

    Utakuwa ni Mdahalo muhimu sana kujua yaliyomo yamo Chief Odemba ndiye ataongoza Mdahalo huo kupitia Medani za Siasa Star tv Ni Jumamosi 31/08/2024 na Makatibu Wakuu wa Vyama vyote Watashiriki wakiwemo Dr Nchimbi, John Mnyika, Ado Shaibu na wengine Muda ni saa 3:30 Usiku hadi saa 5 :30 Usiku...
  11. F

    Taswira ya nchi yetu imechafuka sana hivi karibuni. Ni wakati muafaka kuwa na serikali shirikishi kwa kuzingatia maridhiano na Vyama vya Upinzani

    Taswira ya nchi yetu kimataifa imechafuka sana ndani ya kipindi cha miezi miwili iliyopita kuliko wakati mwingine wowote tangu 2021, na tunakoelekea inaonesha hali itakuwa tete zaidi. Suluhisho sio matumizi ya nguvu za dola, suluhisho ni masikilizano. Ili maridhiano kati ya chama tawala (CCM)...
  12. Nehemia Kilave

    Pre GE2025 Tumaini lililo jema kwa sasa ni kama Upinzani kutupa mbadala wa CCM au CCM kubadilika kwa maslahi ya Taifa

    Tuna vyama vya siasa lakini kiuhalisia vyama hivyo kuna wana harakati tu ndio wengi hakuna watu ambao kama chama kinaingia madarakani basi watakuwa ndio engine ya serikali Hivyo tunalalamika kuwa CCM hawafai ,ufisadi umeshamiri ,maliasili zinatumiwa vibaya lakini hakuna Chama kinachojipanga...
  13. Nehemia Kilave

    Ninahisi nguvu ya sasa ya CHADEMA ni kwa hisani ya CCM, tunahitaji Upinzani halisi

    Tanzania ina Jumla ya vyama vya Siasa 19, ACT Wazalendo kikiwa ni chama mwisho kusajiliwa May 2014. CUF na NCCR MAGEUZI ya kina Mbatia walijaribu kuwa wapinzani halisi lakini wakadhohofishwa. CCM ni chama kikubwa na kina mbinu Nyingi sana ninahisi kinaipa nguvu ya kifedha CHADEMA kwa faida...
  14. Mla Bata

    Tafakuri: Je, Siasa hizi za mihemko na kufuata "trends" za mitandao zitawafikisha wapinzani nchi ya ahadi?

    Wasalaam, Appease, Propitiate and Placate! Tuliza, Fidia, wape waone na kusikia wanachotaka kusikia! Kwenye sayansi ya siasa hizi ni nguzo zitumikazo mara kwa mara kuongoza, ebu leo tujikite kwenye Placate. Placate (play-cat), it's a mind game, una control akili za watu kwa kuwaonyesha...
  15. S

    Si kwamba vyama vya upinzani ni bora zaidi, lakini ni muhimu Watanzania kuiondoa CCM madarakani to teach the Police a lesson

    Watu wengi wamekuwa wakivitazama vyama vya upinzani katika mtazamo wa kuwa mbadala wa CCM katika uongozi, na wengi wanasema kwamba bado havijakomaa kuongoza nchi, jambo ambalo siku zote nasema, tulipopata uhuru TANU haikuwa imekomaa kuongoza nchi. Sasa mimi naona kama imefikia mahali jeshi la...
  16. K

    Upinzani sio uadui, watu makini wa upinzani wanaweza kutumiwa na Rais

    Nchi ni ya watanzania wote bila kujali vyama vyao wala chochote Rais akishaapishwa anakuwa kiongozi wa nchi sio wachama hivyo anakuwa kiongozi wa watu wote Kwa msingi huo watu wote ni mali ya Rais na wanayo nafasi sawa mbele ya Rais bila kujali itikadi zao Vyama vya upinzani vina watu wengi...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    Sipendezwi na tabia ya Baadhi ya Wafuasi na viongozi wa CHADEMA kuita viongozi wa vyama vingine Majina ya Matusi, kejeli na dhihaka

    SIPENDEZWI NA TÀBIA YA BAADHI YA WAFUASI NA VIONGOZI WA CHADEMA KUITA VIONGOZI WA VYAMA VINGINE MAJINA YA MATUSI, KEJELI NA DHIHAKA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Unaweza kutofautiana na Mtu kimtazamo, kidini, kiitikadi, kielimu,kimaumbile, kihadhi, kiuchumi, kiukabila miongoni mwa mambo...
  18. GoldDhahabu

    CCM kudai kuwa vyama vya upinzani bado havijawa tayari kukabidhiwa nchi, ni uzalendo au ubinafsi?

    1. Kwani TANU ilikuwa tayari kukabidhiwa nchi na Wazungu hasa ikizingatiwa kuwa ilikuwa ikiongozwa na "kijana" wa miaka thelathini na nane tu? Mbona aliweza kuiongoza kwa "mafanikio" makubwa? 2. Kwa kusema vyama vingine havijawa tayari, kunamaanisha nchi haina mifumo imara ya kiuongozi hadi...
  19. Cute Wife

    Pre GE2025 Lusinde: CCM na Vyama vya Upinzani ni kama mjukuu na babu, hakuna ugomvi kati yao ila ukifika uchaguzi wakae pembeni

    Katika Mkutano wa Msigwa unaofanyika leo Julai 20, 2024 Iringa Mjini Lusinde amesema; "CCM na vyama vya upinzani ni kama babu na mjuu, hakuna ugomvi kati yao. "Mjukuu anaweza kucheka anavyotaka na mjukuu wake, kama babu ana mapengo mjukuu anaweza kuingiza mpaka vidole kwenye mapengo yake, babu...
  20. Tlaatlaah

    Pre GE2025 CCM ina wafuasi, wakereketwa na wapiga kura wengi zaidi ndani ya vyama vya upinzani nchini

    Kwa kuthibitisha hilo tazama yanapofanyika vikao au press conference za mabadiliko ya viongozi ndani ya CCM au ndani ya serikali sikivu ya CCM au vinapofanyika vikao vya kamati kuu ya CCM. Yaani, macho, maskio na shauku kubwa mno ya wana ccm, vyama vya upinzani, wananchi na waTanzania kwa...
Back
Top Bottom