Walimu Mbeya DC kutoka CWT kuhamia vyama vingine vya Wafanyakazi ni changamoto.
Tumejaza fomu za kujitoa wamegoma kabisa, ukienda kufuatilia wanasema huu Mwaka wa uchaguzi hawawezi kututoa, muda mwingine ukienda unaambiwa hatuna majibu ya kuwapa.
Sasa mshahara wa Mwalimu unahusiana vipi na...