KwetuKwanza
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 127
- 245
Walimu Mbeya DC kutoka CWT kuhamia vyama vingine vya Wafanyakazi ni changamoto.
Tumejaza fomu za kujitoa wamegoma kabisa, ukienda kufuatilia wanasema huu Mwaka wa uchaguzi hawawezi kututoa, muda mwingine ukienda unaambiwa hatuna majibu ya kuwapa.
Sasa mshahara wa Mwalimu unahusiana vipi na Uchaguzi na je, Mkurugenzi Mbeya DC na HR wake wana mkataba gani na CWT hatuwaelewi ni kama wanatulazimisha tuendelee kubaki kwenye chama icho, kwamba hivi vyama vingine havipo Kisheria au ni vipi?
Sijui wanatuchukuliaje sisi Walimu wanatujibu tu wanavyojisikia wakati tuna haki ya kuhamia chama chochote tunachokitaka ili mradi usivunje Sheria. Inakera sana.
Majibu ya MBEYA DC hapo hapa ~ Mbeya DC: Walimu wanaotaka kuhama CWT na chama chochote wafuate taratibu watapewa uhamisho
Pia soma ~ CHAKAMWATA kwenda Mahakamani kuzishtaki Halmashauri nchini kwa kutowalipa Walimu Tsh. Bilioni 12