vyama

  1. Kwa Tanzania vyama vya upinzani ni ulaghai. Lengo kubwa ni misaada ya wazungu

    Kimsingi, wale wote wanaopata shuruba kwenye siasa za upinzani ni wale wasio na ufahamu wowote kuhusu maana halisi ya upinzani kwa Tanzania. Lakini, wale wachache wanaoelewa huwa hawaingii kwenye misukosuko yoyote na watawala. Watu wengi kwenye siasa za upinzani wanatumika pasipo wao kujua...
  2. Tanzania tunahitaji ofisi huru ya Msajili wa Vyama vya Siasa

    Tumeishi miaka hii ambayo mengi yanayotokea mbele ya macho yetu yanatoa fundisho kubwa sana kwetu na vizazi vijavyo. Nimesikia na hata nimeshiriki kampeni za kutaka tuwe na TUME HURU ya Uchaguzi. Sambamba na hilo tumebananishana na chama letu la ajabu ajabu (CCM) likubali mchakato wa katiba...
  3. N

    John Cheyo: Hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vyama vingine

    Mwenyekiti wa Chama cha UDP anasema hakuna chama cha upinzani ambacho ni kikubwa kuliko vingine. "Tunaona kuna chama tawala na kuna chama kinajiita sisi kikubwa!, hakuna chama cha upinzani kikubwa kuliko vingine, namshukuru Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan kutaka mchakato wa Katiba mpya uwe...
  4. Serikali iimarishe vyama (associations) za wasomi ili wasaidie katika ku address maoni na ushauri katika masuala mbalimbali ya Kitaifa

    Tuache siasa kwa kila kitu. Hizi associations mbalimbali za kitaluuma ziwe zina address solutions mbalimbali kwenye changamoto za kijamii kuliko ku pose kisiasa tu. Chama cha Engineers, Chama cha wanasheria, Chama cha makarani, chama cha madalali, chama cha Wapangaji, chama cha wahasibu, chama...
  5. L

    Uchaguzi ujao utakuwa mwepesi sana kwa CCM tangu mfumo wa vyama vingi uanzishwe hapa nchini

    Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa Sana iliyofanywa na serikali ya CCM chini ya uongozi shupavu na madhubuti wa Rais Samia katika...
  6. Maono: Tuepuke siasa za vyama katika makao makuu ya nchi Dodoma

    Kuna wakati nakuwa sina uhakika sana na dhamira ya nchi hii kuhamia Dodoma ila ngoja nichukulie kuwa dhamira hii ni ya kweli na itadumu. Taifa la Marekani walifanya kitu kimoja unique sana wakati wa muundo wa Katiba yao. Katika majimbo yao yote 50, waliipa mji wao mkuu Washington DC utaratibu...
  7. K

    Ukiajiriwa ni lazima uwe Mwanachama wa vyama vya Wafanyakazi?

    Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama. Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.
  8. Kwanini vyombo vya habari bado vinaripoti kwa 'machale' taarifa za vyama vya siasa vya upinzani?

    Ni wazi kuwa Rais wa awamu ya 6, Dkt Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio haramu za kufanyika shughuli za kisiasa za vyama vya upinzani na hivyo kurejesha ukuaji wa kidemokrasia Kwa vyama vya upinzan hapa nchini, ambao ulikuwa umeminywa Kwa kiasi kikubwa Kwa zaidi ya miaka 6 ya utawala wa awamu ya...
  9. Hofu ya CCM kwa vyama vya upinzani ni ya kweli?

    CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe. Je, hofu hii ni ya kweli na dhahili? Je, wanasiasa wa vyama vya upinzani wanao uwezo wa kudumisha mshikamano...
  10. F

    Vyama vya Upinzani Tanzania vimejaa Wanasiasa wasiokuwa na Maono, Ubunifu wala uwezo wa Uongozi

    Nje ya siasa za mikutano ya hadhara ya kupiga domo domo na maandamano ya kipuuzi puuzi vyama vya siasa vya upinzani Tanzania hakuna kitu kabisa! na hasa CHADEMA! Na kwa kuwa Watanzania wengi ni watu wasiokuwa na elimu bora wala maarifa ya kuchanganua mambo kwa upana wake basi wanawafuata tu...
  11. Kuruhusiwa kwa mikutano ya kisiasa nchini nani kufaidika zaidi kati ya CCM na vyama vya upinzani?

    Kumekuwa na mijadala mirefu inayoendelea nchini, Kwa wananchi kujiuliza, hivi kuruhusiwa Kwa mikutano ya hadhara ya kisiasa, ni nani watakaofaidika zaidi, je ni CCM au vyama vya upinzani? Kwanza, kabla ya kutafakari ni nani atafaidika zaidi, tujiulize kwanza, nini chimbuko la kufungiwa Kwa...
  12. R

    Je, kuna faida gani ya kuwa na mikutano ya vyama vya siasa baada ya uchaguzi?

    Habari JF, Tuweke mbali uhalisia wa namna CCM inavyoingia madarakani. Hivi kuna faida gani baada ya chama kimoja kushinda uchaguzi kwa mikutano ya vyama vya siasa kuendelea? Uchaguzi umeisha kwanini chama kilichoshinda kisiachwe kitekeleze ilani yake na kuongoza nchi tuje tuwa hukumu kwenye...
  13. Nisaidie kifupi cha hiki chama: Chama Cha Matajiri na Masikini

    Asalaam! Ndugu wana jf, tafadhari nina mpango wa kuanzisha chama cha siasa nisaidieni, nipate kifupi cha hayo maneno hapo juu. Naogopa kubanwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini. Chama Cha Matajiri na Masikini. Ni hayo tu natanguliza shukrani Wadiz.
  14. SOFTWARE Tunatengeneza na kudesign logo/website pamoja na android application

    Je? Unamiliki biashara ya aina yoyote na ulikuwa unahitaji kufikia wateja wengi,kujitangaza pia kuuza bidhaa zako kupitia njia ya kidigitali. Wasiliana nasi Leo tutakutengenezea website kwa gharama nafuu ya Tsh; 170,000/tu. Gharama zinajumuisha; Free .co.tz domain/year Free hosting for 6...
  15. Hoja za vyama vya upinzsni zitakuwa zipi wakianza mikutano ya hadhara?.

    1. Je wamponde Samia wamsifie magufuli ? AU 2. Wamsifie Samia wamponde Magufuli? AU 3. Wamponde Awamu zote za CCM? Naona wanawakati mgumu kupata hoja maana wananchi tunamini Katika Magufuli hatuna imani na samia Ila wapinzani hawaamini Katika magufuli Wana imani na samia. Nasubiri Kwa hamu...
  16. Ruhusa ya mikutano ya kisiasa ni pigo kwa vyama uchwara

    Salaam wana jf.baada ya rais Dr Samia suluhu Hassan kutengua zuio la mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa ,nikama kufunga dirisha lakuingiza hewa Safi ndani ya taifa. Nimeona watu wakifurahia sana Jambo hili si wana siasa tu hata wasiokua wanasiasa pia. Lakini kwa upande wa pili hili ni pigo...
  17. Miaka ya 30 ya vyama vingi, Ondoeni ruzuku tufanye mambo ya maana

    Katika kipindi cha miaka 30 ya vyama vingi, tumetumia mabilioni ya pesa za walipa kodi ili kusaidia vyama ambavyo vingine haviko tena mitaani. Vingine vipo kama maboya tu ya kupitishia ajenda za watawala. Kwa umri huu vyamna hivi vinatakiwa vijisimamie. Ni aibu kuendelea kuwa na wacheza siasa...
  18. Nimejiridhisha kwamba CCM imekita mizizi, kama vyama vya kikomunist vya China na Korea Kaskazini

    Hii ni baada ya kuzunguka kwenye taasisi kubwa za kielimu hapa nchini na kubaini kwamba asilimia kubwa ya hawa tunawaita wasomi wa ngazi za juu ni wana CCM kindakindaki na bado wana imani kubwa na dola iliyopo. Ukitembea kwa walala hoi mikoa mbali mbali, huwaambii kitu kuhusu CCM. Ukija kwenye...
  19. M

    Kwanini Rais Samia ameondoa zuio la mikutano ya vyama vingi sasa na si mara tu alipokabidhiwa madaraka?

    Kama wengi mlivyofuatilia leo Januari 3, 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) alifanya mkutano na viongozi na wawakilishi wa vyama mbalimbali vya siasa nchini Tanzania. Pamoja na hoja mbalimbali alizozungumza mojawapo ni kuondoa zuio...
  20. Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

    Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…