Tatizo la ujauzito kuharibika limekuwa likitokea kwa wingi miaka ya hivi karibuni hasa katika nchi zinazoendelea na zile zinazoendelea, utafiti wa kitaalamu ni kuwa asilimia 80 ya mimba zinazoharibika huwa hazijulikani sababu ya kuharibika kwake.
Hivyo, zile sababu ambazo huwa zinatolewa na...
Kumekuwa na kasi ya usambaaji wa taarifa na propaganda nyingi kuhusu ugonjwa wa Corona, chanjo na virusi vipya vinapoibuka ulimwenguni. Propaganda hizo zimeibua nadharia nyingi na taharuki miongoni mwa jamii.
Shirika la Afya ulimwenguni limefanya jitihada mbalimbali katika kudhibiti ueneaji wa...
Utangulizi
Ninasikitishwa sana na utendaji wa Wizara ya fedha katika suala zima la uandaaji wa bajeti kwa Serikali ya Tanzania. Kila mara bajeti inaposomwa Bungeni na Waziri wa fedha pamoja na mambo mengine, huwa inakuwa na ongezeko la kodi/tozo kwenye bidhaa zile zile ambazo zimeguswa na...
Mh Rais Mama Samia Suluhu Hassan alitoa Homework Juu ya Tozo la Miamala Wewe na Timu yako Mnaohusika mliangalie Upya Suala hili, sio Kufuta bali kupunguza Makali Ya Tozo.
Badala yake Kwa Kudemka Kabisa unakuja na mahesabu ya Mabilioni Yaliyokusanywa, Kwamba Yamepelekwa kusaidia hiki na Kile...
Utangulizi
Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
Bado ninaamini serikali makini itakuwa na mfumo rahisi na wa wazi kupokea maoni mbalimbali tulionao wananchi juu ya mapendekezo Kodi zitoke wapi na mambo mengine.
Hivi kwanini ndugulile akaongezewa kitengo kingine hiyo wizara ya mawasiliano, wakatengeneza data base inayoweza kupokea na kuchuja...
Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo?
Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua, harafu unasema 'tumebuni' vyanzo vya mapato!
Tutafute njia za kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi...
Huu ni uzi maalum wa kila mwenye wazo au chanzo kipya cha mapato kwa ajili ya serikali yetu ambacho hakitasumbua wala kuumiza watu. Maana hii kazi inabidi iwe ya Watanzania wote na inabidi uwe mjadala wa wazi mahali popote ili watu watoe mawazo ya kujenga nchi. Na sio kuleta kodi za kuumiza...
Kama Katiba Mpya haikuwekwa kwenye Irani ya chama chetu nashauri kwa kuwa KATIBA si Mali ya chama chochote kama nilivyosikia leo chama Fulani kinasema ni "Jambo letu na sisi ndo tume asisisi " hapana tunaomba swala KATIBA MPYA liwe letu sote na kama linafukuta kiasi hiki sasa tuliwekee...
Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu.
Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
Binafsi naamini watu wenye kipato nchi hii na wanaoweza kulipa kodi ni wengi tu ila kinacholosekana ni ubunifu wa vyanzo vya mapato pamoja na watumishi wa TRA kutotaka kukimbizana na watu kukusanya kodi bali wanataka zaidi kukusanya kodi zisizo na usumbufu/changamoto kama PAYE, VAT na...
Waziri nishati Dkt. Kalemani asema Bwawa la Nyerere kujazwa Maji Novemba 15 mwaka huu wa 2021 aeleza gharama za kuzalisha umeme kwa kila chanzo bunge lamshangilia sana.
Asema lengo la Serikali ni kutumia vyanzo vyote ili mradi vilete umeme wa uhakika na wa bei nafuu kwa mwananchi
Asema umeme...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.