Sasa ukiongeza kodi ndiyo umebuni nini? Kuna ubunifu gani hapo?
Badala ya kuumiza kichwa uchumi ukue ili uweze pata kodi ya kutosha wewe unaongeza kodi, ambayo nayo ni hatari kwa uchumi kukua, harafu unasema 'tumebuni' vyanzo vya mapato!
Tutafute njia za kutumia rasilimali zetu kukuza uchumi...