Langu ni hilo!
Vyeti feki, ni wahujumu nchi kama ilivyo Kwa mafisadi na wezi wengine!
Wameisababishia Serikali hasara kubwa, Kwa elimu yao ndogo, wamesababisha vifo vya wananchi Kwa kutoa huduma chini ya kiwango.
Endapo Serikali itawalipa hao vyeti feki, nimekusudia kuipeleka mahamani...