Sakata la watumishi waliofukuzwa kazi kwa vyeti feki limetinga bungeni baada ya mbunge wa viti maalumu Halima Mdee kuhoji nini mstakabadhi wa malipo ya mafao yao.
Mdee amehoji hilo leo Jumatatu Juni 7 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa mwaka...
Kwako Ndugu na Kamarada ( Comrade ) Gerson Msigwa ( Msemaji wa Rais Ikulu ) ambaye najua pia kuwa huwa unanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums ( tena 24/7 ) hebu ama hapo ulipo nae sasa umuulize Mama au lifafanuliwe vyema nawe kwani ninayoanza kuyaona kwa 'Wahanga' nalo huku Mitaani ni...
Hongera Rais , kwa kuamua kulipa haki zao stahiki Mungu akubaliki sana . Katika hotuba yake leo amesema watumishi wa darasa la na vyeti feki walikuwa wakichangia mifuko ya hifadhi ya jamii hivyo amewataka waajiri wote kuhitimisha utumishi wao kwa kuwalipa stahiki zao.
=========
RAIS SAMIA...
Naibu Waziri – Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe Dkt. Mary Mwanjelwa amesema watumishi wa umma 4,160 kati 15,189 walioondolewa kazini kwa kuwa na vyeti vya kughushi wamerudishwa.
Dkt. Mwanjelwa amesema Serikali imechukua hatua hiyo baada ya kubainika kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.