Vyombo vya habari nchini vimeaswa kusimamia ukweli na kuepuka propaganda kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025, katika kipindi ambacho jamii ina mitazamo, sera na itikadi mbalimbali.
Wito huo umetolewa leo Septemba 25, 2025 jijini Dar es Salaam na Jaji Mstaafu Thomas Mihayo, aliyewahi kuwa Rais wa nne...