Kwa sasa ukitaka kuona brain za nchi hii, nenda CHADEMA.
Nawaelewa sasa CCM kwa kuanza kuchukua sera za Lissu na CHADEMA ikiwemo ukomo wa ubunge kupitia Viti Maalum
kila la Kheri CHADEMA
Allah azidi kuwaongoza!
Salaam
Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia wasiwasi katika muktadha wa demokrasia na haki za raia. Tamko hili linaibua maswali kuhusu uhuru wa...
VIDEO:
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi CCM Ally Hapi, ameviomba vyombo vya Dola kuwachukulia hatua watu wote wanaotaka kuharibu uchanguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwaka huu.
Hapi ameyasema hayo wakati akizungumza na wanachama wa CCM na Jumuiya ya Wazazi wilayani...
Kwa wale wanaojua historia ya Uganda, watakuambia wazi kwamba utekaji na uuaji unaofanyika hivi sasa nchini Tanzania ni sawa kabisa na vyombo vya dola na usalama vilivyowafanyia wananchi wa Uganda wakati wa utawala wa dikteta Idd Amin Dada wa Uganda.
Polisi na chombo kilichoitwa State Research...
..Nimesikiliza maeneo ya Isihaka Mchinjita kuhusu purukushani walizopitia wanachama wao mkoani Lindi. Vilevile nimesikiliza maelezo ya Tundu Lissu akiwa ktk msiba wa kada wa Chadema aliyeuwawa wilayani Manyoni. Maelezo yao yanaashiria kwamba CCM wana magenge ya watu wenye silaha yanayofanya...
Naomba nishauri ya kwamba vyombo vya Dola viwekeze kwenye mambo ya maana na sio kwenye mambo ya kijinga. Kwa muda mrefu vyombo vya Dola vimewekeza akili na vifaa kwenye kupambana na vyama pinzani. Kuteka, kuua na kunyanyasa wapinzani. Ila akili ya kupambana na maafa ni zero.
Tuliona kwenye...
Tukio la kusikitisha sana limetokea Kiluvya Madukani -Dar ,katika Hotel ya Rovvenpec tar.11/Nov/2024. Ikionesha watu wakimteka Ndg. Deogratius Tarimo(Deo Bonge) na kumlazimisha kuingia kwenye gari.
Taarifa ya Polisi. Tanzania waliyoitoa leo tar. 13/Nov./2024 wanakiri kupokea taarifa ya tukio...
Akizungumza na waandishi wa habari leo Ijumaa Oktoba, Jaji Joseph Warioba amewataka viongozi wa serikali wa nafasi mbalimbali kuacha kuingilia majukumu na kazi za vyombo vya ulinzi na usalama badala yake waviache vyombo hivyo vitumize wajibu wake kwa mujibu wa Katiba, sheria na miongozo stahiki...
Ili vyombo vya Dola visiegemee kwa wanasiasa wakati wa utendaji wa majukumu yao, itungwe Sheria ya kuzuia Mtu anayeshinda kuwa Rais wa Nchi kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Siasa.
Hii itaepusha hata kwenye matumizi ya mali ya umma kwenye Chama cha Siasa. Watunga Sheria na wasimamizi wa Sheria...
Kama ni ushindi, basi CHADEMA walishashinda mechi kabla hata ya mechi yenyewe kuchezwa. Hii mbinu ya kimapambano ni kubwa sana na haijapata kutokea hapa Tanzania.
Nimeona polisi kila kona ya jiji na unaweza ukafikiri kuna shambulio la kijeshi linasubiriwa kutoka majeshi ya nchi jirani au...
Haya mambo yako dunia nzima, bahati mbaya watu hawafuatilii katika mitandao na vyombo vya habari.
Kuna matukio mpaka leo yamebaki katika majalada ya uchunguzi, na mpaka leo majalada hayajafungwa!
Ingia chimboni youtube, usipende kuibagaza sana nchi yako
Mzee Butiku anasema IGP, Mkuu wa Usalama wa Taifa, na hata CDF "wasitwambie hawajui". Lakini huenda hawajui! Ingawa kama ni kweli kwamba hawajui, maana yake ni kwamba hali ya Usalama wa taifa letu ni mbaya kuliko wakati wowote ule katika historia yetu walau kwa kipindi cha miaka ishirini...
Katika hali isiyo ya kawaida wawakilishi wa Serikali katika msiba wa Ally Mohammed Kibao uliofanyika jijini Tanga wamekumbana na zomea zomea wakati wakitoa hotuba zao.
Zomea zomea hiyo ilianzia kwa mkuu wa mkoa wa Tanga, Batilda Buriani baada ya kusema kifo cha Ally kimewahuzunisha kama...
Kwa masikitiko makubwa nimepokea taarifa ya mauaji ya kiongozi wa CHADEMA Bwana Mohamed Ali Kibao. Natoa pole kwa viongozi wa chama hicho, familia ya Mzee Kibao, ndugu, jamaa na marafiki.
Nimeagiza vyombo vya uchunguzi kuniletea taarifa ya kina kuhusu tukio hili baya kabisa na mengine ya namna...
Historia ya mmoja wa wezi waliotikisa ulimwengu ni ile ya Pablo Escobar, ambaye alikuwa muuzaji mkubwa wa dawa za kulevya na kiongozi wa genge la Medellín Cartel huko Colombia. Escobar aliathiri sana siasa, uchumi, na jamii ya Colombia na ulimwengu mzima kwa jumla.
Pablo Emilio Escobar Gaviria...
Hoja ya utekaji, mauaji na kupotea kwa watu ikiwemo watoto imeibuka tena bungeni baada ya Mbunge wa Viti Maalumu, Anatropia Theonest kutaka mkakati wa Serikali kukomesha matukio hayo aliyodai baadhi yanahusishwa na vyombo vya dola.
Leo Alhamisi, Agosti 29, 2024, hoja hiyo imeibuka bungeni...
Ili kuhakikisha kuwa na maafisa wa vyombo vya dola wenye maadili mema na uwajibikaji, yafuatayo yanaweza kufanywa:
1. Kuimarisha Uchaguzi na Udahili: Mchakato wa kuchagua na kudahili maafisa wa vyombo vya dola unapaswa kuwa mkali na wa uwazi, ukizingatia zaidi maadili, tabia, na historia ya...
Masuala yanayohusiana na utekaji nyara wa watu yanapovihusisha vyombo vya dola kama polisi, huibua wasiwasi mkubwa kuhusu haki za binadamu, utawala wa sheria, na uwajibikaji wa mamlaka. Katika muktadha wa Tanzania, kama kuna madai kama hayo, ni muhimu kufuatilia kwa karibu taarifa rasmi na...
Broad Question,
Bila kuleta ushabiki wa vyama sasa hapo ulipo vaa uzalendo ili tujadili Kwa pamoja.
Kwanza utambue Kwa rasilimali zetu kama nchi kimaendeleo hatukupaswa kua hapa tulipo sasa kama tungekua na uongozi bora na siasa safi.
Sasa tumlaumu nani, tujilaumu wenyewe Kwa kuruhusu rushwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.