Akiongea na wananchi kupitia mitandao ya kijamii, Humphrey Polepole amesema vyombo vikubwa vya habari vimetishwa na kupigwa marufuku kuzungumza mambo ya msingi kwenye kampeni na uchaguzi.
Amesema vyombo vyote vinavyopigwa onyo na TCRA vimekuwa vikimpa taarifa. Ameongeza kuwa TCRA inatakiwa...
Wakuu
Mambo yanazidi kuwa mengi, mkuu huy wa vipindi kwa hiki anachokifanya tutegemee usawa katika kuripoti taarifa za uchaguzi mwaka huu?
Au na yeye anataka kugombea? basi angekaa pembeni kabisa.
===
Mkuu wa vipindi Clouds TV, Dotto Bahemu akielezea mafanikio na mwitikio mkubwa wa wananchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.