vyombo vya habari 2025

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole: Vyombo vikubwa vya Habari vimepewa vitisho na TCRA kutozungumzia mambo ya msingi kwenye uchaguzi

    Akiongea na wananchi kupitia mitandao ya kijamii, Humphrey Polepole amesema vyombo vikubwa vya habari vimetishwa na kupigwa marufuku kuzungumza mambo ya msingi kwenye kampeni na uchaguzi. Amesema vyombo vyote vinavyopigwa onyo na TCRA vimekuwa vikimpa taarifa. Ameongeza kuwa TCRA inatakiwa...
  2. S

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mkuu wa vipindi Clouds TV: Wananchi wana imani sana na Rais Samia

    Wakuu Mambo yanazidi kuwa mengi, mkuu huy wa vipindi kwa hiki anachokifanya tutegemee usawa katika kuripoti taarifa za uchaguzi mwaka huu? Au na yeye anataka kugombea? basi angekaa pembeni kabisa. === Mkuu wa vipindi Clouds TV, Dotto Bahemu akielezea mafanikio na mwitikio mkubwa wa wananchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…