Mahakama kuu ya Tanzania imewakumbusha mawakili wote wanaohudhuria mashauri mahakamani kuzingatia na kuheshimu maelekezo ya chama cha wanasheria tanganyika (TLS) pamoja na maelekezo ya mahakama, kwa lengo la kuhakikisha mwenendo wa mashauri unafanyika kwa ufanisi, heshima na kwa kuzingatia...