Ukandamizaji wa vyombo vya habari nchini haujaanza katika utawala wa Rais Magufuli. Nakumbuka kipindi cha Rais Kikwete, mnamo mwaka 2012, gazeti la Mwanahalisi lilifungiwa, na halijafunguliwa mpaka leo hii. Mwaka 2013, Magazeti mawili makubwa, Mwananchi na Mtanzania yalifungiwa kwa muda kwa siku...