vyombo vya habari

  1. Pascal Mayalla

    Corona: "Media tunakufa kizungu na tai shingoni!", asante Waziri Mwakyembe kutambua mchango wetu. Serikali/jamii please do something, tutakwisha

    Wanabodi, Hili ni bandiko la kuizindua serikali na Jamii, kuikoa sekta ya media, katika hii vita ya janga la Corona, japo sisi waandishi wa habari ni wadau muhimu sana katika vita hii kama ilivyo kwa madakari, manesi na wauguzi, lakini kiukweli sisi waandishi wa habari, haswa ma freelances, na...
  2. Influenza

    Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari: Uandishi wa Habari bila Hofu au Upendeleo

    Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari maarufu kama Siku ya Waandishi wa Habari Duniani ni ni moja ya matukio yaliyopanga, kusimamiwa na kuhamasishwa na Umoja wa Maifa likiwa linaadhimishwa kila mwaka Mei 03 Siku hii inaadhimishwa kuongeza uhamasishaji kuhusu umuhimu wa uhuru wa waandishi wa...
  3. SueIsmael

    Kongole kwa Wanahabari wote tukiadhimisha Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari

    Nawatakia wanahabari wote, ikiwemo timu nzima ya Jamii Forums, maadhimisho mema ya Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari. Hii ni tasnia ngumu sana na inahitaji ujasiri wa hali ya juu. Ukipewa jukumu la kutetea ukweli, ni rahisi kutengeneza maadui wengi, hata wale wanaokolewa na ukweli huo. Tuzidi...
  4. FRANCIS DA DON

    Video: Jinsi vyombo vya habari vya wazungu vilivyosherehekea kuingia kwa Corona Africa,”The virus finally hits Africa!”

    Hapo chini ni video yenye title “....Corona virus FINALLY HITS Africa” , kwa wanaoelewa hasa maudhui ya lugha ya kiingereza, ni kwamba neno FINALLY hutumika pale ambapo unakua unasubiria jambo flani kwa hamu na shauku kubwa lakini linakuwa linachelewa kutokea, na pale linapotokea ndio sasa...
  5. M

    Vyombo vya habari: Tatizo ni nini?

    Nimekua nikiangalia vyombo vya habari vya hapa nchini, karibu vyote vina mapungufu makubwa ya kusoma mahitaji ya soko au wateja wao>. Waulizeni DSTV, STAR TIMES, AZAM, CONTINENTAL Nk toka CORONA iingie, michezo imesimaamishwa wamepokea malipo kiasi gani kwa vifurushi vyao. Utagundua watu...
  6. Pascal Mayalla

    Star TV: Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, azungumzia wajibu wa vyombo vya habari kuripoti janga la Corona

    Wanabodi Wale wenye nafasi, fuatilieni Kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari ambacho kiko Live on Star TV. Kipindi cha leo, Msemaji Mkuu wa Serekali, Dr. Hassan Abbas, Anazungumzia Wajibu wa Vyombo Vya Habari Kwenye Kuripoti Janga la Ugonjwa wa Corona. Kipindi kinaongozwa na Nguli Dotto...
  7. Stuxnet

    Hali ya Mafuriko Rufiji ni tete, Vyombo vya Habari Maalum vinaogopa kutoa taarifa

    Msikilize Mbunge Mohamed Mchengerwa wa Rufiji kwenye hiyo video. Haya yanawakuta Watanzania wenzetu huko Rufiji. Huyu ni mbunge wa CCM anasema hivyo. Ina maana yamemfika shingoni na ni HATARI KUBWA. Wana JF tupieni macho huko tuweze kuona jinsi ya kusaidia Watanzania wenzetu. na watu...
  8. Erythrocyte

    Baada ya kutoka jela Mwamba Freeman Mbowe kuongea na vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Jumamosi hii

    Ataongea kuanzia saa 8 mchana Makao Makuu ya Chadema , Kinondoni Mtaa wa Ufipa . Wote Mnakaribishwa
  9. polokwane

    Kumtangaza mshindi wa mamilion kwenye vyombo vya habari ni kumuweka kwenye hatari kubwa sana

    Ndio hivyo ndivyo ninavyo weza kusema hasa ha makampuni ya KUBET maana baada tuu ya kutanganzwa misuko suko inaanza mara kabambikiwa kesi, mara matapeli wanamsakama, mara majambazi wanamuwinda nk Nadhani itafutwe njia mbadala ambayo taarifa zza msindi haziwi exposed sana kwenye jamii maana...
  10. Mapambano Yetu

    CHADEMA anzisheni vyombo vya habari. Huu sio wakati wa kulalamika

    Kati ya mambo ya msingi ambayo tanakifanya chama kurudi nyuma ni kutokuwa na vyombo vya habari vya chama. Siamini CHADEMA kama taasisi wanashindwa kuwa na vyombo vyao vya habari. Wanachama tuko tayari kushiriki uchangiaji ilimradi mtuhakikishie kuanzisha Television na Redio ya chama. 2020...
  11. beth

    Tume ya Haki Binadamu na Utawala Bora yaangukia vyombo vya habari

    Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Jaji mstaafu Mathew Mwaimu, amesema tasnia ya habari kuwa ndio wadau wakubwa wa haki za binadamu nchini. Jaji Mwaimu alisema hayo jana katika mkutano uliofanyika Zanzibar wa kuwajengea uelewa wa pamoja makamishna wa tume...
  12. GENTAMYCINE

    Utashangaa bado kuna Watanzania 'watabisha' kuwa Tanzania hakuna kabisa uhuru wa vyombo vya habari

    “ Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda dhidi ya nchi yetu kutoka mashirika ya kimataifa au wawakilishi wa mataifa ya nje “. @TZMsemajiMkuu Ndugu zangu wa...
  13. Influenza

    Msemaji wa Serikali: Serikali imeelekeza, imeonya na kusamehe vya kutosha. Sasa kuvichukulia hatua vyombo vya habari vinavyosambaza taarifa za uongo

    Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Dkt. Hassan Abbas kupitia ukurasa wake wa Twitter ndio ametoa onyo hilo kwa kusema; "Katika siku za karibuni kumeibuka tena tabia ya baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kushabikia, kutumika na kuwa mawakala wa kusambaza habari za uongo, uzushi na propaganda...
  14. Erythrocyte

    Dhuluma ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa yatinga kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa

    Tayari Aljazeera , BBC , CNN na AFP wameanza kulifuatilia kwa karibu
  15. FRANCIS DA DON

    Kwanini sigara zinaruhusiwa kutangazwa kwenye vyombo vya habari?

    Nilikuwa nadhani ni vyema matangazo yote ya bidhaa za tumbaku yapigwe marufuku, hata zile promotion za sigara kwenye mabaa zipigwe marufuku kabisa. Hii inatokana na ukweli kwamba wavuta sigara hawahitaji kutangaziwa kwani wakipatwa na kiu ya sigara wataifuta popote ilipo. Hivyo basi matangazo...
  16. Analogia Malenga

    CHADEMA: Taarifa kwa vyombo vya habari juu ya mambo yanayoendelea katika uchaguzi wa serikali za mitaa

    CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA UMMA Wakati tukielekea mwisho wa ratiba ya kuchukua, kujaza na kurejesha fomu za uteuzi wa kugombea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji wa Mwaka 2019, ambao unatarajiwa kuwa leo jioni saa 10.00, Chama...
  17. Mpinzire

    Diamond Platnumz kuzungumza na vyombo vya habari kesho saa 5 asubuhi

    Jioni hii Diamond (Chibu) ameripoti kuwa kesho atazungumza na vyombo vya habari nchini. Je, Chibu anaenda kujibu mawe anayorushiwa juu Million 500 ya Konde boy? Usikose kesho saa 5 asubuhi kupitia Wasafi TV na Wasafi FM (88.9).
  18. figganigga

    Watanzania tuelezwe ni wapi alipo Rais wetu Mpendwa John Magufuli, ni haki yetu kujua

    UPDATE: Fuatilia LIVE coverage hapa: Ikulu: Rais Magufuli awaapisha viongozi walioteuliwa. Mathias Kabunduguru, Godfrey Mweli na Ali Sakila ========== Heshima kwenu wakuu, Heshima kwenu wakuu, Kuna habari zinasambaa kwamba Rais wa Tanzania John Magufuli anaumwa wengine wanasema amekatiza...
  19. zitto junior

    Uhusiano Kati ya Vyombo vya Habari na Intelijensia

    Intelijensia inaelezwa kama taarifa za siri zinazokusanywa,kuchakatwa na kuchambuliwa ili kuwezesha serikali kuchukua maamuzi fulani ili kuongeza ufanisi. Umuhimu wa intelijensia haupimwi kwa uwezo wa wingi au usiri wa taarifa unaopatikana bali katika uwezo wa zile taarifa kupelekea maamuzi...
  20. Kaka Pekee

    Marekani: Uhuru wa vyombo vya habari haupimwi kwa idadi ya machapisho

    Katika maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari leo jijini dodoma...Kaimu balozi wa Marekani ametoa tamko la Serikali ya Marekani juu ya Hali ilivyo kwa Uhuru wa Vyombo vya Habari nchini kwa kumpiga kijembe waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi kwa kusema "Uhuru wa vyombo vya habari...
Back
Top Bottom