Wakuu
Walee tunaonunua ndinga mikononi mwa watu bila kubadili umiliki tumefikiwa.
TRA imesema kuanzia January 20 itaanza kutumia mfumo unaoitwa IRAS ambao hautaruhusu alieuziwa chombo cha moto kubadili umiliki, badala yake alieuza chombo hicho ndiye atakua na uwezo wa kubadili umiliki pekee...
Vijana wa kata ya kalobe wamejikuta katika hali ya mshangao baada ya uwanja wao wa mazoezi kufanywa njia mbadala ya kupitia magari na vyombo vingine. Hali hii imewafanya vijana awa kushindwa kufanya mazoezi katika eneo lao la kila siku kwa kuofia afya zao.
Baada ya kutokea kwa jambo hilo vijana...
Jeshi la Polisi Tanzania Nchini limesema kuwa Kila mwaka huadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani huku likipiga marufuku kwa mtu yoyote kupokea ama kutoa fedha taslim wakati wa Ukaguzi wa vyombo vya moto.
Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi...
Ili kufikia maono ya "Tanzania tunayotaka ifikapo 2040," ya kuweza kuunda vyombo vya moto nchini Tanzania serikali inaweza kuchukua hatua kadhaa za kimkakati kusaidia wabunifu wanaotengeneza helikopta kwa kutumia injini za magari na magari kwa kutumia injini za pikipiki. Hatua hizi zinapaswa...
Habari wana jukuwaa. Ni matumaini yangu unaendelea salama wewe kama mdau!
Leo niwape Tips kadhaa zitakazokusaidia Kujiupusha na Ajali unapoendesha chombo cha Moto Barabarani. Ajali nyingi zinaweza kutokea kipindi cha mvua nyingi kwasababu ya uoni hafifu wa madereva na vyombo vingine hivyo...
Magari ya Mwendokasi yakwenda spidi mno lakini sasa yapo katikati ya Jiji. Watoto, watu wenye ulemavu, wazee wote pia wanahiaji kutumia hizi barabara pia, hivyo binafsi ninge pendekeza mwendo usiwe spidi sana atleast 60 hivi.
Kwa sababu mabasi ya mwendokasi yakipunguza spidi yakiwa yanapita...
Nimejiuliza sana swali hili bila kupata majibu. Nini kinakwamisha maendeleo ya biashara ya gas ya KUENDESHA VYOMBO vya moto hata nchini?
Baadhi ya maoni ya wadau ni kwamba Serikali haijatilia mkazo kwakuwa haipati Kodi kubwa kama kwenye mafuta.
Wengine wanasema wafanyabiashara wakubwa wa...
Kwanza nianze kwa kuipongeza serikali ya Zanzibar kwa kutuzuia Watanganyika kuendesha vyombo vya moto kwao bila kibali maalumu, yaani leseni ya udereva pekee haitoshi mpaka uwe na kibali chao.
Huu ni utaratibu mzuri, Serikali ya Tanganyika iige mfano huu na raia wote wa kigeni toka Zanzibar...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kupanda kwa bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumatano September 06, 2023 saa 6:01 usiku ambapo kwa mwezi September 2023, bei za rejareja za mafuta katika Mkoa wa Dar es Salaam petrol...
Wakuu,
Leo ni zamu ya madereva kuwa kwenye kiti cha moto:D.
Medereva mnakwaza sana kwenye kipengele hiki. Mtu anaweza kukaa muda mrefu kwenye alama za kuvukia (zebra crossing) huku wenye vyombo vyao wanapita tu utafikiri hawaoni mtu. Tena ukiwa peke yako ndio kipengele zaidi, utakaa hapo...
Licha ya kuwa Mazoezi husaidia kujenga na kulinda Afya, kuna masuala muhimu ya kuzingatia kabla ya kuanza mazoezi ikiwemo kuchagua eneo la kufanyia mazoezi ambalo litakuwa salama kimiundombinu na kimazingira.
Katika siku za hivi karibuni watu wengi wamekuwa na utaratibu wa kufanya mazoezi...
Habari waungwana naomba msaada kwa mwenye kuelewa maana ya ndoto hii mara nyingi nimekuwa nikiota naendesha vyombo vya moto kama vile gari ya abiria au pikipiki huku nimepakia abiria nyuma.
Sometime naota narusha ndege angani yenye abiria wengi wakati huo sina experience yoyote na vyombo vya...
Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote.
Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia...
kidonge kinaitwa Govvi petrol pill
Kimeshatumika sana duniani
na kimeshafanyiwa tafiti nyingi na kuonekana kuwa kinafanya kazi.
Uki youtube au ku google kidonge hiki utakikuta kinajulikana sana.
Na sasa kuna watu hapa Tanzania wanakitumia.
Utaweka petrol kidogo kwenye gari au chombo chako cha...
Ninazo GPS za aina mbalimbali kwa ajili ya vyombo vya moto, TV, Computer, n.k..
Zina sifa zifuatazo.
1. Ina uwezo wa kuzima chombo kwa kutumia simu yako.
2. Ina Live location na live tracking.
3. Unaweza kuset fence chombo chako kikiingia au kutoka eneo fulani upate taarifa.
4. Inahifandhi...
Bima za vyombo vya moto zimekuwa msaada mkubwa kwa watu wanaotumia vyombo hivi hasa ikitokea chombo chako kimehusika kwenye ajali.
Lakini je, kampuni za hizi za vyombo vya moto hapa nchini zinachangia vipi kufanya wanaomiliki vyombo vya usafiri siyo tu kuendelea kutumia huduma zao bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.