Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
Habari ndugu,
kuna huu utaalamu wa Ufungaji wa mfumo wa gesi Asilia (CNG) kwenye Vyombo vya moto unaofanyika hapa Tanzania na DIT udsm-engineering (Sina uhakika kama kuna tasisi nyingine imeongezeka).
Naomba kufahamu kama kazi hii ni ruksa kufanywa na yeyote mwenye weledi huo au kuna Taasisi...
Mamlaka ya Mapato (TRA) imefuta adhabu na riba kwa vyombo vyote vya moto vilivyoingizwa nchini bila kufuata taratibu za forodha, huku wamiliki wakitakiwa kusajili rasmi vyombo vyao hadi kufikia Juni 30, 2022.
TRA imesema lengo la hatua hiyo ni kujenga ushirikiano na uhusiano mwema kati yao na...
Mfumuko wa bei umo ndani ya mafuta ya vyombo vya moto (petroli na dizeli), kwenye umeme, na kwenye gesi ya kupikia.
Ukitaka kucontrol mfumko wa bei inatakiwa ucheze na bei za mafuta, gesi ya kupikia na umeme ndani ya nchi.
Pia kutokana teknolojia kukua, mfumko wa bei umo hadi kwenye huduma za...
Kuna vitu vinatia kunyaa Tanzania viongozi wapo maofisini hawana ubunifu na hawaendi na wakati wapo wapo tu
Likadi likubwa la A4 kama karatasi ya mtihani wakati siku hizi nchi nyingi wanatumia smart card 💳 tu na inabeba taarifa zote za gari
Au mnasubiri hadi mama aje awaambie ndio mshtuke...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Adolf Mkenda ameitaka Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT) kujitanua zaidi kwa kutengeneza vipuri vya vyombo vya moto ikiwemo vya bajaji na pikipiki.
Ameyasema hayo Januari 28, 2022 Jijini Dar es Salaam wakati alipotembelea Taasisi hiyo ili...
Wakuu Someni Hii Taarifa Kutoka Mamlaka Ya Mapato Tanzania (TRA)
=====
October 8, 2021 by Global Publishers
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) imesema kumekuwepo na changamoto kubwa ya baadhi ya watu wanakuwa wamesajili vyombo vya moto lakini usajili wao ni batili, hawajasajiliwa na TRA ambapo...
Kwa wale wageni Arusha,
Kuna barabara nzuri sana kutokea Sakina hadi Tengeru na kuna mpango wa kuindeleza ifike Namanaga na Holili kwa upande wa pili
Pamoja na kupendezesha mji kwa kiasi kikubwa kwa mtazamo wangu kuna changamoto inayotakiwa kufanyiwa kazi.
Hii barabara pamoja na kuwa na njia...
Habari wana zengo natumai wote ni wazima wa afya tele.
Mm naomba kufahamishwa faida ya bima ya vyombo vya moto hasa hii bima ndogo ambayo ni lazima kila chombo cha moto uwe nacho, mm naomba kujua nn faida ya huyu mmili wa chombo kama piki piki, bajaji na gali anapata faida gani akiwa nayo?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.