vyuo vikuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    TCU yaongeza muda wa Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Programu zenye nafasi 2024/2025

    1.0 UTANGULIZI Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU) inaufahamisha umma, Taasisi za Elimu ya Juu na wadau wa Elimu ya Juu ndani na nje ya nchi kuwa udahili katika awamu zote mbili kwa ngazi ya Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kwa mwaka wa masomo 2024/2025 umekamilika. Majina...
  2. W

    Askofu Mwamakula: Vyuo Vikuu vinazalisha wahitimu wanaokuwa "Machawa" wa wanasiasa

    Akichangia mjadala katika Siku ya Kimataifa ya Demokrasia, Askofu wa Kanisa la Moravian Revival Church, Emmaus Mwamakula amesema kuwa kuna vyuo vikuu nchini vinashindwa kuandaa viongozi wa baadae badala yake kuzalisha wahitimu wanaojipendekeza kwa wanasiasa na kuona Siasa ni ajira Amesema hayo...
  3. Erythrocyte

    Viongozi wa Serikali za Wanafunzi Vyuoni waomba walipwe mishahara na Serikali, Kama Wafanyakazi wengine

    My take. Hii ndio Habari mpya kwa siku ya leo, kwamba vijana hao wamependekeza awanafunzi wenzao wanaochaguliwa kuwa Viongozi wa Serikali za Wanafunzi wawe wanalipwa mishahara na serikali, (Yaani Wale Marais wa vyuo na mawaziri wao) ========= Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi kwenye vyuo vya...
  4. Alfred Daud Pigangoma

    Uombaji wa mikopo kwenye Bodi ya Mikopo ya Vyuo Vikuu Tanzania 2024/2025.

    Wadau Salaam, Naomba kuuliza kama unaweza kufanya process ya kuomba mkopo bila ya kuwa na ADMISSION NUMBER kutoka chuo chochote! Kwani hii imetokana na dirisha la mikopo kufikia tamati tarehe 30 August ili hali matokeo ya chaguzi kuanza kutangazwa kuanzia tarehe 03 September na hapo ndipo...
  5. BLACK MOVEMENT

    Ni vigumu kukuta Waziri Uganda, Kenya au Rwanda kavaa fulana yenye picha ya Rais. Tanzania ni Jamhuri ya Uchawa

    Pamoja na Ubabe wa Kagame, Mawaziri wake sio wajinga huwezi wakuta wanajikomba kwa Kagame, huu ujinga hawaufanyagi ni bora wafukuzwe kazi kuliko kumlamba kagame miguu. Hawajazaliwa kuwa Chawa na huwezi wakuta hata wanamsifia Bosi wao Kagame. Njoo Uganda kwa MSeveni, huwezi kuta Waziri...
  6. Have Fun

    Wimbi la Watu kwenda kusoma Ulaya na Maendeleo ya Vyuo Vikuu Nchini

    Usichoke Kushabikia SIMBA, SIMBA, SIMBA, SIMBA, IMBA, IMBA, IMBA Tanzania ina Vyuo Vingi sana na Wakufunzi waliobobea kuliko wakufunzi wa Wazungu.. Hakikisha Unasoma nchini kuanzia Darasa la Kwanza hadi Uprofessa.. Yakikukuta haya Utakuwa Mgonjwa milele "Hata Mimi nataka Kuwa Mtumwa karne hii...
  7. K

    Selection za vyuo vikuu kwa mwaka 2024/2025 zinatoka lini?

    Wakuu mko salama? Kwa wanaojua ebu wanieleweshe,nimewafanyia maombi ya vyuo ndugu zangu wako huko jkt lkn mpaka sasa sijaona chuo kilicho publish selection. Naomba kwa anaejua selection za vyuo ni lini zinatoka anijulishe maana kwenye websites za vyuo kama udsm,udom,mzumbe,mucobs na hata saut...
  8. G

    Kufundisha vyuo vikuu binafsi

    Hello family? Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje? Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi. Ahsante.
  9. proff g

    Vyuo vya ualimu vyatunishiana misuli na vyuo vikuu kwenye sifa za udahili

    Mwaka wa masomo 2024/2025 umekuwa wa tofauti kuliko miaka nyumba, kupitia wizara ya Elimu kumekuweko na mabadiliko ya kimitaala katika uendeshaji wa Elimu yetu. Moja ya madiliko ni kuwekwa Kwa vigezo vinavo fanana Kwa ngazi tofauti mfano nihili la vyuo vikuu na vyuo vya ualimu kuwa na vigezo...
  10. N

    Mliopata mkopo wa Elimu ya juu mlitutambia sana

    Nyie watu mliosomeshwa kwa mkopo wa serikali elimu ya juu mlikuwa mnatutambia sana sie tulionyimwa mkopo. Mlikua mnajiona wajanja wenyewe 😂😂 mmepata kazi umefika mda wa kulipa deni mnaanza kulia lia ooh mshahara hautoshi mara ooh wanakata sana. Mlitegemea nani awalipie? Wakati mnatumia mliona...
  11. M

    Tukutane tuliosoma Vyuo vya Mjini na kero zake

    Tuliosoma vyuo vikuu vya mijini tukutane hapa. Wahenga wanasema ukizaliwa mjini tu basi wewe Form 6. Ukikulia mjini basi tayari upo University. Tuliosoma Vyuo Vikuu vya mjini kuna raha yake ambavyo waliosoma vyuo vya nje ya mji hawapati. Kero nilioyokutana nayo mimi vyooni, licha ya vyuo...
  12. J

    KERO NACTVET hawaoneshi ushirikiano kwa wanafunzi wanoomba AVN number kwa ajili ya matumizi ya kuomba mikopo na vyuo

    Ikiwa Leo ni siku ya nne, najaribu kuingia kwenye system ya "NACTVET" Kuomba "AVN NUMBER" lakini sifanikiwi licha ya kuwa nimejisajili, ila system haijanipa nafasi ya kutengeneza password, na hata siwezi kuingia kabisa, na mbaya zaidi mfumo unload tu Wala hata haufunguki. Ikiwa zimebakia siku...
  13. H

    Naombeni Ushauri nimedisco chuo tangu mwaka wa pili na nyumbani wanajua naendelea na masomo na huu ndiyo mwaka wa mwisho

    Mambo wana JamiiForums, Nilidisco Chuo tangu nikiwa mwaka wa pili lakini mara baada ya kudisco sikurudi nyumbani wakawa wananitumia hela ya matumizi naishi tu ili wenzangu wakimaliza na mimi naenda home nionekane nimemaliza chuo wakija kuuliza ajira ionekane ajira ni ngumu sijapata. Sasa huu...
  14. E-Maestro

    Njia za Kuimarisha Ujuzi wa Programming kwa Watoto wa Kitanzania: Kuanzia Shule za Msingi Hadi Vyuo Vikuu (Tupate Fluent Programmers)

    Utangulizi: Habari wana JF! Leo ningependa kushiriki nanyi mawazo juu ya jinsi Tanzania inaweza kuzalisha programmers wenye ujuzi wa hali ya juu kwa kuanzisha elimu ya programming kuanzia shule za msingi hadi vyuo vikuu. Kwa sasa, wanafunzi wengi wanakutana na programming mara ya kwanza wakiwa...
  15. Nyafwili

    Vyeti vya Elimu ngazi ya chuo Vitofautishwe Sababu za Kurudia Mwaka na Kuahirisha Masomo, Itasaidia kujua yupi ni kilaza au alipitia ugumu wa kimaisha

    Habari wana jamiiforums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝, Hili bandiko sijagusa Maisha ya mtu/watu. Lakini Kwa njia hii, vyeti vya wanachuo vitoe picha kamili na sahihi kuhusu sababu za muda mrefu wa masomo yao, hii itasaidia kuepusha mkanganyiko kuhusu uwezo wao wa kitaaluma na changamoto...
  16. ngara23

    Vyuo vikuu na vyuo vya kati, jitahidini kuzingatia maadili ya vijana wetu wakiwa huko masomoni

    Huko vyuoni mbona hamuweki vitengo vya kuratibu nidhamu na maadili ya watoto wetu wawapo masomoni, Mbona mmefanikiwa kuratibu taaluma na kudhibiti wizi wa mitihani vyuoni. Vyuoni imekuwa sehemu ya kuwabadilisha vijana kuwa Makahaba wa hadharani Mapenzi ya jinsia Moja. Kutumia mihadarati...
  17. Tukuza hospitality

    SoC04 Mikopo kwa wanafunzi wa vyuo vya kati na vyuo vikuu itolewe kwa wote watakaoomba

    Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...
  18. Kong xin cai

    SoC04 Tanzania Tuitakayo: Kuwepo na utofauti kati ya vyama vya siasa vya uraiani na vile vinavyotumika vyuo vikuu na kati

    UTANGULIZI Nchi yetu ni ya kidemokrasia, na mifumo yote ya kiutawala inazingia misingi ya kidemokrasia. Hivyo Kila Raia anayo Hali ya kuchagua chama Cha siasa anachokiona Bora. Zipo tawala mbali mbali nchini zinazotumia mifumo ya vyama vingi kupata watawala au viongozi. Tawala Moja wapo ambazo...
  19. Gol D Roger

    Top 10 za shahada za vyuo vikuu ambazo wahitimi wanajuta kusoma.

    Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi. 10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education) 9. Biology...
  20. B

    Uhaba wa Degree Programmes za Literature Vyuo Vikuu unasababisha uhaba wa Walimu wataalamu wa Literature mashuleni

    Habari wakuu. Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha. Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
Back
Top Bottom