Wahadhiri wa Vyuo Vikuu vya Umma nchini humo, ambao kwa sasa wamegoma kutokana na mgogoro wa malipo yao, wamesema Sheria hiyo itajenga jamii bora kwa kuendeleza Taasisi za elimu za juu na kuboresha Ufadhili wa Mfumo wa Elimu ya Juu nchini humo.
Wamedai kuwa Serikali imetelekeza Vyuo Vikuu vya...
sheria kandamizi zinavyo wabana wanafunzi wa vyuo vikuu kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi wanapokuwa katika masomo yao
Sheria zilipo zinazatoa muongozo kwa wanafunzi kujihusisha na masuala ya kisiasa pindi kunapokuwa na uchaguzi wa nafasi mbalimbali katika ngazi ya uongozi ambao hutoa...
Vyuo vyetu bado viko hoi sana hata kwa miundombinu tukilinganisha na waliotuacha kama South Africa.
Bila ushabiki, kupitia mitandaoni SUA imekuwa ikisikika kama mfano wa chuo bora kwa uwezo wa wahitimu wake. Ni mfano wa wahitimu wavumilivu na wabunifu ktk taaluma zao. Hata hivyo, adui mkubwa...
Nchi yangu ya Tanzania kama inatamani kupiga hatua zaidi kwenye maendeleo ya tekinologia inapaswa kuangalia zaidi suala la elimu inayotolewa na vyuo haswa vya umma.
Unakuta mwanafunzi anamaliza shahada yake ya masomo akiwa anachukua masomo ya tehama lakini hakuna kitu alichotoka nacho kichwani...
Kwa nyomi za waomba kazi za Sensa. Ni Bora kuanzisha hii kozi huko vyuo vikuu, mpige hela kiroho Safi. Yaan nafasi 50 Ila waombaji 3,000 kwa Kata. Malipo sasa!
Baada ya kufanya utafiti mdogo kuhusu vyuo kumi bora Tanzania, nimejiridhisha vya kutosha vyuo nitakavyo vitaja hapa ndivyo vyuo kumi bora kwasasa hapa Tanzania. Katika utafiti huu mdogo nimezingatia machapisho ya chuo husika kwenye international journals, tafiti za chuo husika, mchango wa chuo...
Tarehe 25 mwezi Juni mwaka 2022 fainali ya mashindano ya 21 ya “daraja la kichina” la wanafunzi wa vyuo vikuu duniani ilifanyika nchini Ufaransa kwa njia ya mtandaoni na nje ya mtandao, kaulimbinu ya mashindano hayo ikiwa ni “ dunia moja, familia moja”. Balozi wa China nchini Ufaransa Bw. Chen...
Serikali imesema inaangalia uwezekano wa kutumia vyeti vya wahitimu wa vyuo vikuu nchini kama dhamana ya kuwapa mikopo mbalimbali ya kuwawezesha kujiajiri na kuajiri wengine.
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Omari Kipanga, aliyasema hayo bungeni wakati akijibu swali la nyongeza la...
Kichwa cha habari chahusika.
Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
Adhabu hii aliyopewa professor wa Princeton ni kwa kosa alilofanya miaka 15 iliyopita. Tanzania tukitoa adhabu kama hizi kwa waalimu wa vyuo vyetu waliojihusisha kimapenzi na wanafunzi wao ndani ya miaka 15 iliyopita tunaweza kubaki na waalimu wachache sana. Lakini ni adhabu ambayo inabidi tuwe...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, amezungumza na kusaini kitabu cha Mtoto wa Kitanzania Ada Marie Kemilembe (9) mkazi wa Columbia, Maryland, alipokutana nae Jijini Washington DC Nchini Marekani.
Taarifa: Ikulu Tanzania
Asikudanganye Mtu ukizaliwa au kuishi...
Wataalam na wadau wa elimu ya juu wamewaomba viongozi wa serikali kuanzisha utaratibu maalum utakaoviruhusu vyuo vikuu nchini kuwapokea wanafunzi kutoka nchi za nje kusoma kozi ya shahada Tanzania.
Kwa sasa ni wanafunzi wenye alama za ufaulu sawa na elimu ya sekondari ya juu (Kidato cha Sita)...
Vyuo Vikuu pendwa havipo hata kwenye top 3000 global universities rankings!
Hivyo chukueni tahadhari.
**USHAURI: Bora hata umpeleke mtoto vyuo vya South Africa kuliko Ukraine.
NB: Hakuna mtu makini nchini aliyesoma vyuo tajwa.
Wakuu samahani, naomba msaada namba ya kuomba kibali Cha kuhamia kufanya kazi vyuo vikuu, kutoka kwenye shule ya sekondari (halmashauri).
Ikiwezekana na sanduku la posta ni lipi.
Mhe.waziri wa elimu ukiwa kama mwanazuoni, saidia kumulika vyuo vikuu vimekuwa hodari kubuni programs ambazo ni sawa na chuma ulete ... Yaan wanakwapua pesa za wananchi / wasaka elimu ya juu (degree level) programs wanazo anzisha unakuta hazina soko ktk soko la ajira kabisaa yaan ni aibu ata...
Hello Jf
Leo nimewaza kwa nini tusiwe na vyuo vya kati vingi,na vyuo vikuu vichache?
Sio sasa hivi vyuo yenye hadhi ya chuo kikuu ni vingi na vinatoa incompetent candidates,heshima ya degree imeshuka sana,
Mimi naona vyuo vyenye hadhi ya chuo kikuu viwe vichache,hii italeta big competition...
Ukatili dhidi ya Mtoto wa kike huwakatisha tamaa maelfu ya mabinti kuzifikia ndoto zao. Eneo la vyuo vikuu ni sehemu hatari zaidi ambako bado hakujatiliwa mkazo unaostahiri.
Serikali ipeleke dawati la jinsia kwa vyuo vyote ili kumsaidia Mtoto wa kike, kwa hali ya sasa anayehusika na kesi zote...
Nimefuatilia matokeo ya walioomba mikopo ya kugharamia masomo ya elimu ya juu tangu walipotoa awamu ya kwanza hadi ya mwisho juzi tarehe 4/11/2021.
Kwanza idadi kubwa ya waombaji wa mikopo hiyo hawakupata. Pili, moja ya kundi kubwa la waombaji ambao hawakupangiwa mikopo kwa sababu mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.