Hello Jf
Leo nimewaza kwa nini tusiwe na vyuo vya kati vingi,na vyuo vikuu vichache?
Sio sasa hivi vyuo yenye hadhi ya chuo kikuu ni vingi na vinatoa incompetent candidates,heshima ya degree imeshuka sana,
Mimi naona vyuo vyenye hadhi ya chuo kikuu viwe vichache,hii italeta big competition...