Wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mjini Iringa vya Mkwawa, Ruaha na Tumaini, wamefanya maandamano mjini hapa na kutaka bei ya umeme ishuke mara moja. Aidha wanafunzi hao pia wametaka waliochangia kupanda kwa huduma hiyo ya kijamii wafikishwe mahakamani haraka, wafungwe maisha au kunyongwa...