vyuo vya kati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mparee2

    Vyuo vya Kati visipandishwe kutoa Degree

    Miaka ya hivi karibuni kulikuwa na wimbi la kupandisha Vyuo vingi kutoka hadhi ya kutoa cheti na Diploma hadi ngazi ya kutoa Degree. Vijana wengi wa kidato cha nne na cha sita wakipikwa kwa Ngazi ya Diploma kwa miaka mitatu wanatoka wakiwa watendaji/ wazalishaji wazuri sana. Hiyo Ngazi ndiyo...
  2. Chendembe

    Wizara ya Elimu tafadhali chunguzeni ratiba za masomo katika Vyuo vya Kati na Juu

    Nawasalimu kwa kutoa maoni yangu katika upangaji wa ratiba katika vyuo mbalimbali hapa nchini. Naomba Wizara ya Elimu na wahusika kupitia ratiba za masomo vyuoni. Imekuwa kawaida sasa kuona ratiba hizo kupangwa kutokana na nafasi za walimu wa masomo vyuoni kuelekea vipindi vingine kuanzia...
  3. Rebeca 83

    USHAURI: Kuwe na vyuo vya kati vingi na vyuo vikuu vichache

    Hello Jf Leo nimewaza kwa nini tusiwe na vyuo vya kati vingi,na vyuo vikuu vichache? Sio sasa hivi vyuo yenye hadhi ya chuo kikuu ni vingi na vinatoa incompetent candidates,heshima ya degree imeshuka sana, Mimi naona vyuo vyenye hadhi ya chuo kikuu viwe vichache,hii italeta big competition...
  4. guojr

    Wazazi na Serikali tuangalie maadili ya watoto wetu Vyuo vya Kati

    Kama wazazi au walezi tunapenda watoto wetu wapate elimu ili iwasaidie maishani mwao. Ila kuna hili jambo la wazazi na walezi kupeleka watoto wao kusoma kwenye hivi vyuo vya kati hasa hivi vinavyotambulika kama vyuo vya mipango ambavyo vipo mikoa mbalimbali. Watoto hawa wengine wakiwa chini ya...
  5. Travelogue_tz

    NACTE na maamuzi ya utata kuhusu mitihani ya marudio kwa wanafunzi wa vyuo vya kati: Je, Waziri wa elimu anafahamu kilio hiki?

    Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) ni chombo kilichoanzishwa kwa Sheria ya Bunge Sura Namba 129 ili kusimamia na kuratibu utoaji wa elimu na mafunzo ya ufundi katika Vyuo ambavyo si Vyuo Vikuu ama Vyuo Vikuu Vishiriki nchini. Jukumu mojawapo la Baraza ni kuhakikisha kuwa mafunzo...
  6. C

    SoC01 Umuhimu wa Wanafunzi wa Vyuo vya Kati kupata mkopo

    Habarini wana jamii. Katika kada ya Elimu hususani vyuoni Kuna umuhimu mkubwa wa wanafunzi wa vyuo vya Kati kuwekwa katika bajeti ya kupata mkopo. Jumla ya wanafunzi katika vyuo vya kati au vyuo vya ufundi hujitegemea kwa kiwango kikubwa katika kujihudumia kuanzia malazi, makazi hata malipo ya...
  7. U

    Ada ya vyuo vya kati ni bei gani?

    Habarini ndugu, Jamaa na marafiki, naombeni kuuliza ada za vyuo vya kati kwa stashahada ya ualimu wa sekondari ni kiasi gani? (vyuo vya serikali)
  8. N

    Chaguzi Kidato cha Tano na Vyuo vya Kati: Uraiani hakusomeki na soko la Ajira nalo halisomeki

    Kufuatia Machaguzi ya kwenda kujiunga na elimu ya kidato cha 5 na vyuo vya Kati. Nimeona wizara (TAMISEMI) imewapangia wanafunzi wengi sana kwenda kusoma vyuo vya kati. Kwa kozi zingine ambazo ukiziona unaanza kumuonea dogo huruma. Mfano: Public Administration, Tour Guide, ualimu, Business...
Back
Top Bottom