Miaka ya nyuma, yaani 1995 na kurudi nyuma, elimu ya vyuo vya kati na vyuo vikuu vya serikali, iligharamiwa na serikali kwa asilimia 100. Miaka ya 1990, kufuatia utekelezaji wa mageuzi ya kiuchumi (“Structural Adjustment Programme”), mpango uliofadhiliwa na Benki ya Dunia (“World Bank - WB”) na...