Tanzania ya miaka 15 ijayo inapaswa kuwa nchi yenye mfumo imara wa vyuo vya ufundi stadi (VETA) ambao unatoa mafunzo yanayokidhi mahitaji ya soko la ajira. Kuimarisha vyuo vya VETA ni muhimu sana kwa maendeleo ya taifa letu, kwani itasaidia kutoa wataalamu wenye ujuzi na maarifa yanayohitajika...
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya hizi kozi.
10. English Language and Literature Degree (hii sio Bachelor of Education)
9. Biology...
Hivi course ya COMMUNITY HEALTH ipo na inatolewa kweli? Nimejaribu kufatilia vyuo vingi sijaiona.
Naomba kama kuna mtu anajua chuo kinachotoa hii course tafadhali.
UTANGULIZI
Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
Habari wakuu.
Tunapozungumzia kufundisha Literature tunazungumzia walimu wabobevu wa lugha ya kiingereza kwasababu hakuna fasihi bila lugha.
Kwa muda mrefu nimekua nikitatizwa na upungufu wa walimu wa somo la English literature mashuleni. Hivyo nimesukumwa kufuatilia suala hili kwa undani na...
Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo wanageuka...
Ili Tanzania kuendana na kasi ta teknolojia duniani ni lazima tuwe na vyuo vingi vya ujuzi angalau kila wilaya, ilikusudi wale wanao onekana wameshindwa mitohani basi baraza liwachague kwenye hivyo vyuo vya ujuzi kuliko kuwaacha wakae mitaani tu.
Hali zikisha kuwa ngumu za maisha ndo...
Tanzania kama tunavyojiita kuwa ni moja ya Nchi zinazoendelea, hatuwezi kukwepa kujiingiza moja kwa moja kwenye MAPINDUZI YA NNE ya viwanda.
Mapinduzi ya Nne ya Viwanda, ni mapinduzi makubwa ya kiteknolojia ambayo yanaendelea hivi sasa, na yana athari kubwa kwa biashara na jamii kote...
Nikisia kuwa na Wanafunzi wa Chuo Kikuu changu cha Majiniasi tupu cha SAUT Mwanza nilichosoma kati ya mwaka 2006 hadi 2009 nao wamefanya huu Upuuzi na Ushamba nitaumia, nitasikitika na nitaanza kuona kuwa sasa Wakatoliki wamepunguza Umakini wa Kitaaluma na Malezi kwa Wanafunzi.
Kama hujasoma au...
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
Baadhi ya wanafunzi kutoka jamii ya kimasai, Wilaya ya Ngorongoro wanaosomeshwa na Baraza la wafugaji chini ya mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) wanadai kumekuwepo na kusuasua kwa malipo ya ada na mahitaji mengine kwa wanufaika waliopo kwenye vyuo mbalimbali nchini.
Hayo yameelezwa leo...
Huu mkoa haukui upo, upo tu!!! Vyuo vinasaidia sana mji kukua, Wilaya ya Songea imepoa mji uko vilevile miaka nenda rudi!
Of course kuna vyuo,lakini kwa upande wangu naona havisikiki kabisa kuna chuo cha sauti, kilifungwa kimefunguliwa kitu ambacho kimefanya nikione kama chuo cha magumashi...
Kuna wasaka fursa za ajira wenye zaidi ya miaka mitano mijini wanapambana, lakini kwa bahati mbaya hakijaeleweka mpaka sasa hivi.
Poleni sana, na pongezi nyingi kwa bidii, ustahimilivu, subra na moyo wa kutokukata tamaa katika kutimiza ndoto zako.
Hebu tafadhali vijana ndugu zangu...
Naandika haya nikiwa jikoni kabisa.Nimelia sana kwa maneno ya wabunge wanaokula posho za bure kwa kugonga meza na kudharau wanazuoni.
Jamani kuna kundi kubwa sana la wanafunzi wa vyuo ndoto zao zinaisha njiani na kufa kabisa kwa sababu za ada,watu wanakosa malazi,watu wanapitia msoto mkali...
Yaani maisha yao ni mazuri kweli na ya kifahari mno. Nyumba na vyumba wanazoishi mtaani ni za maana sana, na ndani ya nyumba zao kumekamilika kila idara, sijui wanalipwa mshahara huko vyuoni siku hizi.
Wanaishi kama wafanyakazi wa mashirika flani hivi ya kimataifa, haonekani akienda chuo...
Vyuo vikuu inakuaje board ya mikopo inaweka hela kwenye account za vyuo wiki mbili zinapita bado chuo haviandai voucher na cheques kupuleka bank wanafunzi wanapata pesa baada ya siku 84 sio 60 tena vyuo vinafaidika Nini na kuwacheleweshea wanafunzi pesa hapa SUA mjiulize 🤨
1. University of Dar es Salaam
2. Sokoine University
3. Nelson Mandela African Institute
4. Mbeya university
5. Catholic university of Health
6. Mwenge Catholic University
7. Moshi Cooperative university
8. Mzumbe university
9. Kilimanjaro Christian college
10. University of Arusha
Kwa ambao...
Akiwa Bungeni Dr Bashiru ameitaka serikali kubadilisha mfumo wa kuajiri kutoka Utumishi na kuviachia vyuo vikuu kuajiri. (Namkubusha tu 2019 alikuwa bado ni Magu, na katika hili watumishi wengi waliumia) Utumishi hawana kosa.
Adhma ya jambo hili ni jema lakini, athari zake ni kubwa sana, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.