PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Zygot

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
2,319
Reaction score
3,128
Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi.

Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni kutuhadaa kwa vitisho vya migomo. HAPANA! Tulijiandikisha vyuoni, tukawa nyumbani, hatukupata haki ya kupiga kura. Mwisho tumeshuhudia wauaji wa ndugu zetu. Tunakuja.
 
Vyuo vikifunguliwa, kuna uwezekano vitachangamka saaana. Vijana wameshuhudia mengi mtaani, wanarudi vyuoni wakiwa na mindset mpya.

Nilisema kabla ya uchaguzi kuwa jiandaeni ndugu zangu, hii Tanzania mpya inayokuja unahitaji uwe konki kweli kweli katika nyanja zote.
 
Kuna dalili ya kuvuta miguu kuamua ni siku gani vyuo vitafunguliwa, lakini hata iweje tutataka kurudi vyuoni. Tunaporudi tuna letu jambo la moyoni. Hii siyo nchi ya CCM peke yao. Wale vihelehele wa CCM vyuoni tunakukla nanyi.

Taarifa iliyopo wanaandaliwa wanafunzi bandia kuingia vyuoni kutuhadaa kwa vitisho vya migomo. HAPANA! Tulijiandikisha vyuoni, tukawa nyumbani, hatukupata haki ya kupiga kura. Mwisho tumeshuhudia wauaji wa ndugu zetu. Tunakuja.
Najua ni shujaa wa Keyboard, lakini usije kufanya. Siyo wanacumzi Tu mpaka walimu wapi wengi sasa jichanganyenkujionyesha Una mdomo.mrefu..
 
Wengine wameshatangaziwa tayari
Tahadhari; ukijichanganya wanakutoa manundu utaishia elimu uliyo nayo hadi unakufa dogo usicheze na serikali utaumia wewe na familia yako
Ni ushauri wa bure tu
Acha vitisho ndugu,serikali zina pewa mamlaka na wananchi,na iwapo wakijipa mamlaka hiyo wenyewe inakosa uhalali!
 
Sina cha kumshauri huyu mzanzibar,ila kawaida ya damu ukiimwaga ,iwe ya jambazi au ya mtu yeyote awaye ,damu hiyo Huwa Ina kawaida ya kudai haki,mauaji ya watu 5000+ lazima damu zao zidai haki.

Na Tanzania imeshakuwa jadi,maana tumeuvunja mwiko ,hivyo maandamano yajayo yatakuwa ni mauaji ya haraiki

Wewe mzanzibar soma alama za nyakati,huwezi wauwa watanganyika wote
 
Back
Top Bottom