PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mtu anatafuta kumbasuliwa hapa kiutani tu.
Watakuja ndugu zake kuloloma hawamuoni.
Mtulize munkari vijana kumechacha mjini.
 
Wengine wameshatangaziwa tayari
Tahadhari; ukijichanganya wanakutoa manundu utaishia elimu uliyo nayo hadi unakufa dogo usicheze na serikali utaumia wewe na familia yako
Ni ushauri wa bure tu
Mungu ndio wa kuogopwa mkuu usimtishe mwenzako
 
Najua ni shujaa wa Keyboard, lakini usije kufanya. Siyo wanacumzi Tu mpaka walimu wapi wengi sasa jichanganyenkujionyesha Una mdomo.mrefu..
Huo mkwara unazidi wa Kamanda Muliro? alifanikiwa au yeye mwenyewe alijificha?
Usijali tunaongeza idadi ya vifo ili ICC isipate ugumu wa wahusika hapo The Hague.
 
Huo mkwara unazidi wa Kamanda Muliro? alifanikiwa au yeye mwenyewe alijificha?
Usijali tunaongeza idadi ya vifo ili ICC isipate ugumu wa wahusika hapo The Hague.
Icc? Hihi nyinyi IQ zenu ziko below average? Eti utasikia ICC.. wao ni Nani? Na Wana mamlaka gani? Na Kwa ushahidi gani nilikuwa. Nao. Nyingi leteni upuuzi wenu Kwa kudhani ICC iko pamoja na nyinyi. Yule kahaba WA marekani alikuambieninJeshi likompamoja na nyinyi. Matokyake mmeyaona hayo!!
 
Najua ni shujaa wa Keyboard, lakini usije kufanya. Siyo wanacumzi Tu mpaka walimu wapi wengi sasa jichanganyenkujionyesha Una mdomo.mrefu..
Endelea kuleta mdomo wewe kibakaa!
Acha kuchezea serikali, kila siku nawaambia vijana utaishia pabaya na familia yako itabaki na majuto kwa kujifanya mjuaji!
Maneno yenu kama Muliro na Chalamila. Vitisho lakini tarehe 9 mutahama nyumbani. Sisi tutaandamana maana waliouwawa ni wale waliobaki nyumbani, ndani ya fensi. Au unadhani kikosi cha mauaji kiliwinda akina nani?
 
Endelea kuleta mdomo wewe kibakaa!
Acha kuchezea serikali, kila siku nawaambia vijana utaishia pabaya na familia yako itabaki na majuto kwa kujifanya mjuaji!
Unaye mtishani nani?Hizo Tsh 25M ulizopewa iliumwage damu za Watanganyika nakuhakishia hutozifaidi kama unavyofikiria.Damu ulizozimwaga zitaleta laana kwenye familia yako.Hizo fedha zitaishia kwenye matibabu ya kansa ya mama yako .Amina
 
Back
Top Bottom