PostGE2025 Fungueni vyuo, leteni wanafunzi bandia, Vijana tunahitaji kukusanyika. Lazima tuelewane

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hahahahaha

Nasemaje nasemaje nasemaje ...Hatuchekeshi
Usifurahi kumwaga damu mwenzako kisa fedha nyingi ni laana ambayo Leo huwezi kuona ila kesho utaiona.Nevertheless mliowaua Asilimia 80% hawakuwa kwenye Maandamano na wengine ni Wana CCM wenzako walikuwa nyumbani tu.
 
Wana ccm waliouliwa waliuwawa na waabdamanaji diha😎
 
Shehe majini mgombea wa CCM Kwa kupigwa risasa na waandamaji?Wandaamanaji walikuwa na Bunduki?
Mtangazaji wa clouds FM mwanaCCM mwenzako alipigwa risasi na waandamanaji?Laana ya damu na iwe juu yako na fedha ulizopata ziishie kwenye matibabu ya kansa
 
Ndio
 
Nasikia wakuu wa mikoa wanahangaika kutoa mahubiri ili vijana watulie.

Huko vyuoni nahisi vijana wamejipanga.
 
Back
Top Bottom