Wataalamu wanaozalishwa na vyuo mashuhuri Tanzania

Wataalamu wanaozalishwa na vyuo mashuhuri Tanzania

namesake4

New Member
Joined
Jul 5, 2025
Posts
4
Reaction score
0
Kwanini wataalamu wanaopata shahada na astashada kwenye vyuo vyeti hapa Tanzania hawapewi nafasi za mbele kwenye miradi nchini?

Je ni kweli wamepata ujuzi au sisi wenyewe hatuwaamini na kama ndivyo basi kifanyike nini kurekebisha haya?
 
Back
Top Bottom