Shikamooni wakubwa zangu wadogo marhaba.
Najua kuna wataalamu wa masuala ya uzazi humu hivi kwamfano,ukapima ujauzito ukaonesha Una mimba ya wiki mbili au tatu na Hali ya ujauzito unaiona.
Halafu mara baada ya wiki kadhaa unagundua huna ujauzito,hii inakuwaje mimba inakuwa imeenda wapi...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusu malipo ya wataalamu wa maabara (Laboratory Technicians) wanaohusika na maandalizi ya mitihani ya vitendo kwa watahiniwa wa Kidato cha Nne na Sita wakati wa mitihani ya kuhitimu inayoendeshwa na Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA).
Changamoto kubwa...
Kakakuona aloonekana Kilosa kasema kwamba mvua zitanyesha za Kilimo.
Hivyo Watanzania Mumehimizwa kumzingatia Kakakuona.
Mnyama aina ya Kakakuona ameonekana katika kata ya Kimamba,Kilosa ,mkoani Morogoro. Wazee wa wilaya hiyo wamefanya mila ya kumuwekea vitu mbali mbali ambapo atakachochagua...
Ndani ya chumba cha mafunzo katika mji mkuu wa Rwanda, Kigali, mjadala kuhusu chakula, kilimo na teknolojia unaendelea wakati washiriki wakisikiliza, kuuliza maswali, na kubadilishana uzoefu na wataalamu wa China. Kwa wataalamu wa Rwanda wanaohudhuria kozi hiyo ya Teknolojia ya Uchakataji na...
Kamati ya Ardhi Maliasili na Utalii imepokea na kujadili taarifa za Bodi ya Usajili wa Wataalamu wa Mipangomiji (TPRB) na Bodi ya Usajili wa Wathamini (VRB) ambazo zipo chini Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi na kusisitiza Wizara hiyo iendelee kushirikiana na bodi hizo na kuzijengea...
Hii imekaaja kitaalamu? Je nikila punje tano kwa siku au nikatafuna puje tano papo hapo nitapatwa na nini?
Nahitaji kujua wataalamu maana mimi natafunaga tu hata kile kizima naweza tafuna punje zote, kumbe inawezekana nakosea?
Je kwa kufanya hivyo kuna madhara gani?
Nilitembelea hospitali kubwa za nchi hii 3, ni katika utaratibu wangu wa sadaka kama tunavoelekezwa katika biblia kwamba dini njema ni ile inayojali wajane, wagonjwa na maskini....
Sasa, sababu ya kuja hapa ni mambo ya hatari ambayo nimekua nikiyaona...aisee ugonjwa wa kansa unakuja kwa kasi...
📢 FURSA KWA WATAALAMU NA WANAFUNZI WA CHEMISTRY CANADA 🇨🇦
Kozi ya Professional Ethics for Chemists – 2026
Association of the Chemical Profession of Alberta (ACPA), Canada, inakaribisha wataalamu, wahitimu na watu wanaojihusisha na taaluma ya Chemistry kujisajili katika kozi ya Professional...
je hii ni shida au ndo maamuzi yao wazalishaji wa nyimbo hizo maana unakuta jitu linacheza club ukiliuliza ni kinaimba.
Nlasambaa, nakasolembwaa x2
kah
yaani sauti iko chini biti kuliko bongofleva atleast inakuwa juu ya biti au ni style sio kwamba wanakosea
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza napata mashaka hivi hawa wataalamu wetu katika nyanja mbali mbali kama vile Afya, uhandisi ,ualimu na nyinginezo ,je ni kweli wanaohitimu Kwa uwezo binafsi au kupitia matumizi ya AI
Ukizingatia kwasasa vifaa vya kuibia kama vile simu ,miwani na nyenzo...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wananchi wa Kata ya Muhonda na Sungaji wakati akiwa kwenye ziara Wilaya Mvomero mkoani Morogoro, Septemba 28, 2026.
Serikali imeendelea kutoa wito kwa wananchi kuendelea kusikiliza...
Changamoto tunayopitia sasa hivi wakati huu wa kuhuisha leseni zetu kupitia Baraza la Famasia Tanzania (Pharmacy Council).
Mfumo wa CPD Portal Unasumbua: Mfumo ni mzito na unaleta hitilafu (errors). Kwa sasa kuna maswali ya kujibu kwenye mfumo lakini hakuna -access kabisa (haufunguki)...
MARA- Wataalamu wanaoshiriki katika zoezi la uthamini wa mali za wananchi wanaotarajiwa kuhamishwa kupisha ujenzi wa eneo jipya la kuhifadhia mabaki ya shughuli za uchimbaji madini (Tailings Storage Facility – TSF) katika Mgodi wa Dhahabu wa North Mara, wamehimizwa kuzingatia kikamilifu taratibu...
📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi...
Hongereni sana TANESCO kwa uamuzi wenu wa kutekeleza ujenzi wa kituo hiki kwa kutumia wataalamu wa ndani baada ya changamoto zilizojitokeza katika utekelezaji wa mkataba na mkandarasi wa awali lakini pia niwapongeze na kazi mnayofanya. Ni nzuri. Ina standard na ubora-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu...
Wataalamu wa Ardhi Mkoani Singida wameendelea kunolewa katika matumizi ya mfumo wa e-Ardhi, hatua inayolenga kuwawezesha kutoa huduma bora na za kidijitali kwa wananchi.
Matumizi ya mfumo huo yanatarajiwa kurahisisha upatikanaji huduma za ardhi, kupunguza usumbufu kwa wananchi na kuongeza...
Social networks zimezalisha kundi kubwa sana la watu wanaojiita wataalamu wa kila kitu. Leo anakushauri kuhusu afya, kesho mahusiano, keshokutwa biashara, halafu Jumapili imani na maisha kwa ujumla.
Tatizo lao kubwa ni moja: wanatoa ushauri wa jumla kwenye matatizo ambayo yanahitaji kueleweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.