wataalamu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Serikali Yazidi Kutoa Fursa Wataalamu Sekta ya Ujenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa mwaka wa...
  2. Roving Journalist

    Edward Mpogolo: Serikali inawajengea uwezo Wataalamu wa ndani, wakiwemo Wabunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi

    Serikali imesema kuwa imeendelea kuwajengea uwezo Wataalamu wa ndani wa kada mbalimbali nchini ikiwemo ya Ubunifu Majengo na Ukadiriaji Majenzi kwa kuwashirikisha kwenye miradi mkubwa kupitia Wizara ya Ujenzi. Akizungumza Oktoba 29, 2024 jijini Dar es Salaam, katika Mkutano wa Tano wa Mwaka wa...
  3. The Burning Spear

    Wataalamu huu mjengo unaweza cost shilingi ngapi?

    Assume 1. kiwanja kipo 2. Bati migongo midogo za rangi. 3. Madirisha.matano ya wastani 4. Vyumba 3 vitatu vya kulala moja master dining na sebule. Karibu kwa ushauri
  4. Nyanda Banka

    Maswali ya interview (usaili) kwa kada ya ualimu yapoje?

    Nasikia ajira portal mambo tayari huko naona waalimu wengi wamekuwa Shortlisted, Haya tupeane mchongo kuhusiana na maswali ya Interview kwa kada hiyo ya ualimu. Tusaidiane ili tupate kazi wote kwa pamoja kwa manufaa ya kunisaidia taifa letu kufikia malengo makubwa kwa kuzalisha wataalamu...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Ngiri (Warthog ): Naomba wataalamu watueleze Kwa kina kuhusu huyu Mnyama

    Kwa siku za Hivi karibuni ukipita kwenye mitandao ya kijamii utakuta huyu Mnyama anasema Kwa utani hasa speed yake. Sasa Kuna wimbo wake sijui ni kabila Gani na una maana gani Kwa anayejua anaweza kutuambia maana ya =>Kasongo yeyeeeee mombali nangai, kasongoooo mbona weooo songa limala oooohhh...
  6. popomwitu

    Ufahamu mchezo wa Chess: wataalamu wa mchezo huu tukutane hapa.

    Habari ya wakati huu wanaJf, kama title ya uzi inavyojieleza shuka nao. Chess ni moja ya michezo ya zamani zaidi na ya kimkakati duniani, yenye historia ndefu inayorudi nyuma zaidi hadi karne ya 6 huko India. Na ikasambaa Ulaya kupitia Waarabu na Wafarsi, hatimaye kuwa mchezo wa kisasa...
  7. Sonko Bibo

    Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

    Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha. Sasa...
  8. BabaMorgan

    Kipi cha kufanya unapohisi Kuna kitu kibaya kinaenda kukutokea?

    Unapokuwa na wasiwasi wa kutekwa, kuuliwa, kukamatwa na watu wasiojulikana unapaswa kufanya nini? 1. Kuripoti polisi. Swali ni unaripoti kwa muktadha upi ukiulizwa kipi kinakufanya uwe na mashaka ya kutokewa na kitu kibaya utawaambia Nini kama ushahidi? je nikiwaambia hisia zangu zinaniambia...
  9. L

    Msaada wataalamu wa Afya ya Sauti

    Habari za kazi wataalamu wa Afya. Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza. Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa. Naomba msaada kwa anaejua mahala sahihi ambapo naweza kupata matibabu.ama kama mtu anaweza kunifanyia matibabu nitashukuru...
  10. Mr nobby

    Msaada juu upatikanaji wa ajira za wataalamu wa umeme ngazi zote

    Wakuu habari za Leo. Mimi hapa ni mhitimu wa diploma ya electrical engineering mwaka huu 2024. Naombeni msaada wa namna ya kupata uzoefu na ajira zinazo hususu umeme. Mnisaidie mashirika yote binafsi na ya serikali yanayohitaji watu wa electrical ili niweze kuyafatilia yote kwani mm ni mgeni...
  11. M

    Msaada tafadhali kwa wataalamu wa online jobs

    Wakuu mambo vpi? Huku kukosa kazi kunatifanya tuapply kila kazi tunayoiona, ni changamoto. Niliapply kazi ya Data Entry Clerk katika kampuni inayoitwa Silverlief trading limited kupitia tovuti ya Ajira zetu (kwa kujaza Google form). Sasa leo nimeona email ya Ajirazetu yenyetaarifa za...
  12. cleokippo

    Wataalamu wa jukwaa la technology, kuuliza si ujinga

    Habar wana technology, kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu keamba kuuliza si ujinga Naomba kufaham , hivi unaweza uka dowload app ya camera kwenye pc? Kama inawezekana , ipi ni camera kali yenye picha nzur na hd? Laptop ni Dell 13 generation chief mkwawa
  13. Black Butterfly

    Wataalamu wa mafumbo ya Kiingereza njooni hapa

    "What has 4 letters, Sometimes has 9 but Never has 5.?" Leteni majibu hapa!
  14. E

    Nahitaji wataalamu wa coding watakaonisaidia kutengeneza application yangu na website

    Naweza kupata team ya developers?
  15. Mjukuu wa kigogo

    Ndege ikiwa angani, rubani akasinzia usalama unakuwaje?

    Nimeona andiko fulani ila nataka wataalam mnithibitishie inapotokea marubani kusinzia vipi kuhusu usalama wa ndege na abiria Kwa ujumla?
  16. L

    Msaada kwa wataalamu wa meno

    Salaam kwenu, naomba msaada wa kujua dawa ya maumivu ya meno kwa mtoto mwenye umri wa miaka mitano. Nimtoto wajirani yangu amekuwa halali na amevimba shavu kabisa. Jino ni la upande wa chini mwisho.
  17. Melki Wamatukio

    Wataalamu wa kucheza na PC tukutane hapa

    Je, wewe ni kungwi wa kucheza na PC? Sina maana ya wale mnaoweza kuplay Games kwenye PC ama wale wenye uzoefu wa kuhamisha movies za Dj Mark kwenye flashdisk. La hasha! Nina maana ya wale mnaoweza kucheza na zile programmes za msingi sana. Nianze na ArtWork designs. Kuna wale wataalamu wa...
  18. robbyr

    Chuo cha Bagamoyo kimekufa? Wasanii hawakustahili kwenda Korea bali tulihitaji uwezeshaji hapa nchini

    Picha: Mtandaoni Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu. Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
  19. Mwizukulu mgikuru

    Hospitali ya rufaa kitete yatangaza ajira 126 za mkataba kwa wataalamu wa afya mbalimbali

    Hospitali ya rufaa kitete mkoa wa Tabora imetangaza ajira za mkataba 126 kwa wataalamu wa afya mbalimbali mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 25/06/2024.
  20. Melki Wamatukio

    Wataalamu wa Music Artwork (Cover) naombeni msaada

    Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps. Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu...
Back
Top Bottom