Wakuu habari ya nyie kuna hii picha hapa nahitaji kujua namna kuedit kama hivyo, mimi naishia kuweka strokes tu, lakini sijawahi fikia hii level ya hizi cartoon, labda mnipe muongozo ni technique gani hii jina lake ili nifatilie youtube make ukitafuta kwa cartoon za kawaida haiji.
Kwa lugha rahisi, mfamasia ni mtaalamu wa madawa! kazi yake inahusisha kutengeneza, kuchanganya, kutunza na kufikisha dawa kwa wagonjwa zikiwa salama. Ndiye anayeweza kuya-handle madawa na anajua vizuri kwa undani mode of action ya madawa. Daktari/MD ni mtaalamu wa tiba! kazi yake ni kutibu watu...
Wakuu habari za wakati huu, ninatumai mu wazima wa afya.
Naomba kufahamu humu kama kutakuwa na wataalamu wa sanaa ya UCHORAJI, Aidha Mabango ya biashara, picha za kupamba ukutani au majengo ya biashara.
Kama mpo naomba tuwasiliane, au kama kuna mwenye groups za Whatsapp au telegram...
Nimeona kuna computer nyingi sana aina HP, ususani nataka kujua kuhusiana na izi laptop aina ya HP, nataka kujua zipi lianza kutoka mpaka muda huu zipi ndio zipo updated sokoni, (hapa nataka kueleweshwa mfano kama ulivyo Iphone, ilianza iphoe1, ikaja iphone2, ikaja iphone3, ikaja iphone4...
Hamjambo je tunao hapa wataalamu wa uchumi? Pato la Taifa ni GNP au GDP? Nominal - itakuwa kinaganaga?
Ufafanuzi kwa Kiingereza:
GNP Gross National Product (kisawe = gross national income GNI) : total domestic and foreign output claimed by residents of a country, consisting of gross domestic...
Habri!! Muda si mrefu ninaingia hapo jijini, kuanza Kazi. Kituo cha kazi kipo Upanga, Sasa nauliza wazoefu wa mjini vyumba maeneo hyo vinapatikana kwa sh ngapi?? Mfano chumba na sebule au chumba ambacho ni self au Sio self coz nataka nijue najipangaje wakuu.
Au maeneo jirani na Upanga?!
Nimeinstall hii app kwenye simu yangu lakini nashangaa inagoma kutuma sms lakini ikitumwa kwangu inaingia vizuri kabisa
Kwa anaetumia hii app anielekeze jinsi ya kutumia pls
Experts wa IT, mthubutu kuanzisha freelancing websites hapa bongo ili tutengeneze character ya kufanya kazi na kulipwa kwa masaa kazi inapokamilika.
Kuna watu wana kazi ndogondogo na nyingine zinahitaji special skills ambazo kwenye ofisi yake labda hana expert wa kukamilisha hiyo task.
Kuondoa...
Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa kata ya Pasiyansi Ilemela Mwanza,kuhusu afisa mtendaji kata anaitwa Betty,alihamishwa kutoka kata ya Nyamanoro kuja Pasiyansi.
Alikotoka wataalamu wote chini yake walikuwa wanawake na alipohamishiwa(Pasiansi)pia wataalamu wote ni wanawake.
Hakuna gender...
Nimekuwa nikiota ndoto za kuokota pesa tena sarafu zikiwa kwenye mstari mara kwa mara ingawa Jana nikiwa na piga story za jamaa zangu nao wamesimulia ndoto hiyo nini maana yake?
6174: Kwanini takwimu hii imewatatiza wataalamu wa hesabu kwa zaidi ya miongo 7?
Itazame takwimu hii: 6174.
Kwa mtazamo wa kwanza, huenda sio kitu kikubwa - lakini imewatatiza wataalamu wa hesabu tangu mwaka 1949.
Kwanini? Haya ni mambo ya kustaajabisha na unayostahili kuyafahamu mwenyewe...
Nikiwa naeleke kufanya maandalizi kwa ajili ya hii kazi wajuzi naomba msaada wenu....
Fundi wa kwanza: Ameshauri itumike white cement then binder alafu rangi na kanipa makadirio yake
Fundi wa pili: Yeye kashauri itumike pva then binder alafu rangi.....
Fundi wa tatu: Kashauri itumie wall...
Kuna radi kali sana imemulika hapa mjini Morogoro muda huu, ikafuatiwa na mlio mkali wenye kushitua kama bomu, sauti hiyo kali imetikisa madirisha makabati nk.
Swali:
Mawimbi ya sauti yanawezaje kusababisha vibrations kali kiasi hicho cha vioo kujibamiza?
Wataalam wa Umoja wa Mataifa wamesema kwenye ripoti yao kwamba Korea ya Kaskazini inaendelea kuiba mamilioni ya dola kutoka katika taasisi za kifedha na makampuni yanayojihusisha na sarafu za mitandao na ubadilishanaji fedha.
Wataalamu hao waliowanukuu wataalamu wa masuala ya mitandao kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.