Nimemtibu ngombe wangu ambaye amekuwa akiumwa MASTITIS kwa Penstrep for 10 days (injection 15 mls +intrammamary infusion 10 mls for 5 days hakupona, nikaprolong for another 5 day of the same course amepata improvement kidogo. Nitumie dawa gani zaidi ya hapo.
Tangu kutokea kwa ajali hii, kumekuwa na maoni mengi na watu mbalimbali kuhojiwa ili watoe maoni yao. Kinachonmishangaza ni kuwa, wakati chanzo cha ajali kikitajwa kuwa ni hali mbaya ya hewa(najua uchunguzi unaendelea) mpaka sasa sijaona waandishi wa habari wala wadau wengine walioona umuhimu wa...
Wadau wa nyimbo za zamani zile Kali Kali Naomba mniandikie hapa chini nataka kumchukilia mzee wangu Flash then nimuwekee nyimbo .
Pia na za ki-congo na hata za kizungu za miaka ya zamani zile nzuri.
Mdau wa JamiiForums.com anasema kila kunapotokea Janga hasa la Moto taarifa pekee inayotoka ni Moto kuzimwa ukiwa umeteketeza kila kitu au kubakiza sehemu ndogo sana.
Anatolea mfano kuungua kwa Shule, Masoko, Mlima Kilimanjaro uliowaka kwa zaidi ya wiki 2 ambapo anahoji tatizo ni Idara kukosa...
Naomba na mimi leo nitoe uzoefu wangu kuhusu hawa wanaojiita wataalamu tiba za asili. Nilipatwa na changamoto mwaka huu mwanzoni mtoto wangu binti wa kike yupo kidato cha tatu alipatwa na hali isiyo kawaida. Alikuwa anasoma Boarding darasani akawa analala tu na anaweza kulala masaa24 bila kuamka...
Katika siku za hivi karibuni kujifungua kwa upasuaji kumeonekana kama ‘fasheni’, kwani kuna idadi ya wanawake wengi wanaofika hospitali kuomba kupatiwa huduma hiyo bila sababu za kitaalamu.
Wataalamu wa afya wametaja sababu tatu za wanawake kuomba kujifungua kwa upasuaji, ikiwemo ile ya...
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 30 nina tatizo la usikivu hafifu ambalo lilinianza nikiwa na miaka 14 au 15 hivi. Nashindwa kumsikia vizuri mtu akiwa mbali, anaeongea kwa sauti ya chini sana, mtu anaeongea haraka, mtu mwenye kigugumizi, mtu akiniongelesha tukiwa kwenye makelele na pia...
Mjadala unaendelea muda huu kwenye Twitter Spaces ya JamiiForums Septemba 29,2022.
Unaweza kusikiliza kupitia kiunganishi hiki hapa >>> JF SPACES
Dr. Shakilu Jumanne
Tunachoongelea hapa ni uvimbe unaotokea tumboni. Ni magroup ya magonjwa kadhaa yanayo sababisha saratani tumboni.
Dr...
Kutokana na ukosefu wa ajira na wingi wa wasomi, imepelekea kua na mlundikano mkubwa wa wahitaji wa kazi kuliko uhitaji. Mathalani kada moja unaweza kuta nafasi moja lakini kuna waombaji zaidi ya 100.
Hapa changamoto inapoanza huwezi kuongea na watu 100. Hivyo kuna haja ya kuwachuja ubakiwe na...
Iran inaelekea kuishiwa kabisa wataalamu wa nyuklia kwasababu wanafunzi katika vyuo wanaogopa kusoma nuclear science.
Hii imechangiwa na operesheni za Israel ambapo wataalamu wa mambo hayo wamekuwa wakiuawa.
JF isiwe ya stori tu jamani, tuje hapa kwenye majadiliano ya muhimu.
Naulizia aina ya miti ambayo inakua kwa haraka huku pia inasaidia kutunza vyanzo vya maji kama chemchemi na visima. Tafadhali kama unafahamu niwekee hapo chini.
IST inatumia mafuta kiasi gani kwa safari ya kutoka Arusha Mpaka Marangu? Kwa google map ni takribani km 119. Kwahiyo kwenda na kurudi ni km 238+. Je hapo zinahitajika lita ngapi?
Na Pili Mwinyi
Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo mbinu mingine ili kuweza kuziunganisha nchi hizo pamoja na kuwa kitu kimoja. Hadi sasa pendekezo hili...
Wasalamu waTz.
Ulimwengu wa Compact Disk al maarufu CD ni kama umepitwa na wakati kutokana na ukuaji wa teknolojia.
Kwa sasa kuna namna mbali mbali ambazo ni rahisi na salama ya kuhifadhi mafile mbali mbali kama ilivyo kwenye CD.
Kuna kazi (album) ya kwaya ya RC itafanyika hivyo twataka...
Utangulizi
Huenda hulijui hili, kwa wewe ambae unalijua basi nakukumbusha. Sionekani ila nipo kila mahali ambapo binadamu huishi. Mataifa makubwa duniani na nchi nyingi zinazoendelea zinatambua umuhimu wa mimi kuwa timamu. Ila nasikitika kuona taifa lililo na watu zaidi ya millioni sitini (60)...
KAZI ni mojawapo kati ya nguzo muhimu katika maisha ya mwanadamu. Mahitaji muhimu katika maisha ya mwanadamu ni matokeo ya kazi. Unapokatiza mitaani, katika mitandao ya kijamii, majarida na wavuti mbalimbali, maombi na matangazo ya kazi vinapewa kipaumbele kikubwa. Wengi hudamka asubuhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.