Hili swali nimekuwa nikijiuliza bila kuelewa, nimekuwa nikisikia majibu kama chumvi mbichi na chumvi iliyoiva, sielewi ni namna gani chumvi inaitwa imeiva wakati yenyewe ni kemikali.
Tuchukulie mifano hii:
Nimepika maharage kilo moja bila kutia chumvi halafu nikaja kuongeza vijiko vitatu vya...
Ikitokea mtu kakamatwa kipindi A ambapo Sheria inasema hivi halafu pakatokea mabadiliko ya Sheria ambapo labda kwa Sheria za kipindi A angekutwa na hatia na kuhukumiwa lakini hukumu ilichelewa na kuja kutolewa kwenye kipindi cha mabadiliko ya sheria. Je, utaratibu upi utatumika kumhukumu?
Mvua inayesha sana leo na jana Tanga, Zimekuja very late nina wasiwasi zitakatika may be end of May na mazao kukauka
TMA, Je, mkulima anaweza kupanda.
Ushauri please
Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao.
Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
Je;
1. Umejenga mfumo wa kizamani ila unataka kuubadili kuwa wa kisasa na wa kuvutia zaidi? (Mfano; Nyumba ya chini kuwa ghorofa, Nyumba za paa za kuonekana kuwa za kujificha)
2. Unataka kukarabati Jengo la zamani na kuifanya kuwa kama mpya?
3. Ulijengewa vibaya na unahitaji kurekebishiwa...
Na. Mwandishi Wetu.
Wataalam sekta ya kilimo kama wataendelea kuwatembelea wakulima na kutoa elimu kwa wakulima watasaidia kuiinua Sekta ya kilimo Nchini.
Akizungumzia juu ya teknolojia katika sekta ya kilimo nchini Mkurugenzi Mtendendaji wa Chama cha Wafanya Biashara Wenye viwanda na Kilimo...
Salaamu wana Jf baada ya kuonana na madaktari katika zahanati mbili tofauti za serikali yalinipata yafuatayo:
Kwa ufupi niliingia zahanati ya kwanza saa moja asubuhi hadi saa nane mchana hapo nikaingia kwa daktari kwa masikitiko makubwa zahanati ya jimbo nikaandikiwa kipimo cha mkojo...
Ni kama mambo yamebadirika sana na hakuna anayewaza juu ya mizigo hii mizito kwa wananchi
Tulianza na umeme, Tsh 27,000 hadi 300,000+ Nafaka kutoka bei ya kila mtu anunue akale na kwa Milo yote mitatu, na sasa ni wachache sana wanaokula Milo mitatu kama siyo viongozi tu na wenye nafasi hapo...
Quran... inasema tafuteni elimu hata kama iko mbali Nchini china.(chukua mawazo ya china.
Na bible inasema (Watu wangu wanang"amia kwa kukosa maarifa .
@projkishimba
- Kifupi Bachelor of science in social protection ( Shahada ya Sayansi katika Uhifadhi Wa Jamii ): ni course inayo tolewa na Vyuo viwili Tanzania ECASSA institute of social protection Wakitoa elimu hii ngazi ya Astashahada na stashahada, na INSTITUTE OF FINANCE MANAGEMENT wakitoa elimu hii ngazi...
Uchumi: Marehemu Dr Mgimwa huyu ndio mchumi pekee ambae alikuwa very analytical kwa mazingira yetu on how to apply theories to fit our environment and propel growth. Bahati mbaya hiyo speech yake iliyonigusa siioni tena YouTube.
Banking: Dr Kimei amebobea kwenye finance (you do know banks sell...
Naamini ukikatazwa dhambi fulani, consequently utakatazwa kushiriki matunda ya dhambi hiyo. Mfano kama wizi ni dhambi, kushiriki manufaa ya mali ya wizi ni dhambi pia.
Sasa swali ni: Kama kunywa pombe ni dhambi, kwa nini uenjoy benefits zake, kama udhamini, miradi inayotokana kodi za...
Nina thousands of documents, nyingine hata kuzipata ni kazi japo za muhimu.
Kuna namna naweza kufanya? Au Kuna application inaweza kusaidia? Naiingizaje hiyo application?
Any one with experience ?
Habari wana jamvi,
Mimi natumia Microsoft Office 2016 kwa sababu ya shida. Pia ni mpenzi wa kutumia Outlook kwenye mambo yangu binafsi. Ni mwezi sasa nimesitishiwa huduma ya login to Outlook mail kwa sababu nisizozifahamu. Kila nikijaribu nakutana na mambo yafuatayo
1. Disconnected
2. Outlook...
Binti yangu ana mwaka na miezi takribani miwili sasa yupo kakaa tu HATAMBAI... Ukimlaza atajigeuza geuza tu... Na hata ukimkaliza kwenye kochi anaweza kushuka na kuishia kusimamia tu miguu kwenye kochi... Anasimamia tu watu au vitu ila hatambai ukimlaza chini au ukimkaliza.
Changamoto...
Ukiongea na wananchi wa kawaida wana lalamika kuna wasomi wengi sana hawana kazi. Ukiongea na wataalamu wanalalamika hakuna watu wa kutosha wenye ujuzi na taaluma za kazi. Kuna Mtanzania Dr Mushi alifanya PHD yake kwenye hili na link ya kitabu chake iko hapo. Je ni kweli kuna tatizo la...
Binafsi naungana na Huyu jamaa.
1. Mbegu za asili zimepotea.
2. Zamami kipindi cha kilimo mbegu tulichota kwenye magala yetu.
3. Mbegu za kisasa huwezi kureplant ukishaipanda ndo imetoka hiyo.
4. Matokeo yale watu wamekuwa watumwa wa kununua mbegu kila msimu.
5. GMO zinashambuliwa sana na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.