Wakati jamii ikitafsiri mwanaume kulia anapopatwa na matatizo ni udhaifu, wataalamu wa saikolojia na viongozi wa dini wanasema ni afya na humpa mhusika faraja ya maumivu anayopitia.
Wameonya kuwa kukaa muda mrefu bila kuonyesha maumivu uliyoyapata kunasababisha kupoteza hamu ya vitu muhimu...
Viwango vya juu vya tozo ya Serikali vimepunguzwa kutoka sh. 7,000/- hadi 4,000/-(kwa wanaotuma zaidi ya sh. 3,000,000/-). Viwango vya chini vimepunguzwa kutoka sh. 100/- hadi shilingi 10/- (wanaotuma kati ya sh. 100/- hadi 2,999/-)
UFAFANUZI WA KINA UTATOLEWA NA WIZARA YA FEDHA
Nampongeza Waziri wa Afya kwa kupata updates mbalimbali za sekta unayoisimamia kwa wakati na hivyo kuwa responsive.
Nikijikita katika mada,
Mimi ni muumini wa sustainable health system financing yaani sekta ya afya inahitaji njia endelevu ya rasilimali fedha ili iweze kuleta tija. Mfumo wa...
Ripoti ya wataalamu huru wa Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa wanajeshi wa Rwanda walifanya mashambulizi ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kulisaidia kundi la waasi la M23.
Ugunduzi huo unafuatia miezi kadhaa ya mvutano kati ya DRC na Rwanda, kuhusu kundi hilo lenye sifa mbaya.
Kongo...
Kiswahili ni miongoni mwa lugha za kibantu zinazokua kwa kasi barani Afrika na duniani kwa ujamla ikiwa na watumiaji zaidi ya milioni 120 Kama alivyosema Audrey Azoulay " ikiwa na wazungumzaji kati ya milioni 120 na 150 ,lugha ya kiswahili ni moja ya lugha zinazoshamiri kuvuka mipaka ya kule...
Imani katika kutoa huduma za afya ni kitu bora sana ukizingatia kunamatukio mbali mbali yanayotokea kupitia huduma za afya katika mazingira ya huduma ikiwemo hospitali za serikali na binafsi pamoja na vituo vidogo vya afya.
Matukio mengi yanayofanyika yanahusisha Imani potofu, na mazoea katika...
Baada ya kutumia smartphone za makampuni mbalimbali I. e
Nokia/Lumia
Samsung/Galaxy S6
Tecno/H6, wx3, F1, J8 ...
Xiaomi/Redmi note 8,na sasa natumia note 10
Naomba ushauri kati ya hizi
OnePlus Ace
Realme GT Neo 3
Galaxy S10 used
Bei zinalingana tu
MWITO KWA WATAALAMU WA FASIHI
Mchapishaji mashuhuri wa vitabu vya Kiswahili nchini Tanzania, APE Network, ana Mpango wa kutangaza na kuhifadhi kazi bora za fasihi ya Kiswahili kwa kuchapisha, kusambaza, kuweka mtandaoni, kuhifadhi na kuchambua kazi hizo kifasihi.
Shughuli hiyo imekwishaanza na...
Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Tunatafuta watu wenye uzoefu katika kutengeneza beats, kucheza solo guitar na bass, tutafanya kazi katika studio yetu kubwa iliyoko Mbuyuni Salasala.
Kama kuna mtu unamfahamu ni-PM au 0621 014 638
Habari JF,
Bei mpya zimetangazwa kuanza kutumika Tar 6/7/2022, hivi hizi pesa tulikopo IFM na Benki ya Dunia bilioni 100 za ruzuku zimepunguza ukali wa bei ya Mafuta kwa kiasi Gani? Ukiringanisha na kabla ya bilioni 100.
Je, kuna Haja ya kuendelea kukopa?
CHANZO CHA PICHA,REUTERS
Maelezo ya picha,
Mtu mwenye umri mkubwa zaidi duniani, Kiko Tanaka, alifari akiwa na na umri wa miaka
27 Juni 2022
Hapo zamani, maisha marefu yalionekana ni kitu kisichowezekana. Lakini sasa mambo yamebadilika. Je uzee kucheleweshwa au hata kuzuiwa? Je wale wenye...
Habarini za jioni,
Naombeni msaada kidogo katika hili.
Kuna kipengele kimoja katika "Python programming language" kinaitwa "Regular Expressions".Hiki kipengele kinanichanganya kiasi katika platform ninayosomea.Nimekimaliza ila nikijipima najiona bado.
Wenzangu mliopo vizuri hii lugha nisaidieni...
Habari wakuu poleni na majukumu, Nina mambo kadhaa hapa naomba kushare na nyie... sana sana wataalamu wa ndoto na watabiri.
Kwanza, Ndani ya hizi siku mbili mfululizo Nimeota Ndoto ikihusu Maji kujaa ama mafuriko, ndoto ya kwanza niliota nipo kando ya bahari imejaa mpaka makazi ya watu nkavuka...
Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Hassan Chande amesema Serikali inafanya tathmini ya hatua mbalimbali zinazopaswa kuchukuliwa kwa kila Sekta ili kukabiliana na athari zinazotokana na Hali ya Kisiasa ikiwemo Vita ya Urusi na Ukraine
Ameeleza hayo baada ya Mbunge Nancy Hassan Nyalusi kuhoji ni hatua...
Naomba TAMISEMI msiwe mmezichukua namba zetu za NIDA Ili kujifurahisha naomba mzitumie Ili tupewe kipaumbele tunaomalizia ujana ukiwa mtaani.
Wale wenye namba zinazoanza na 1996+ watupishe kwanza wenye 1980s na Early 1990s
Wakuu salaam, moja kwa moja kwenye mada,
Kuna watangazaji wa vipindi mubashara ambavyo kuna wataalamu wa afya, elimu, viongozi nk hualikwa kwa ajili ya kudadafua mambo fulani kwa kina.
Natambua watangazaji wanajukumu muhimu la kuongoza mijadala kwa kuuliza maswali au kupokea simu za watazamaji...
Habari wanajamvi natumai mu na afya njema na wale ambao afya imelega kidogo poleni na ugua pole God atabless
Ndugu zanguni nilipiga Ct scan,, naomba kuuliza hiko nimezungushia kwenye picha ni kitu gani wataalamu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.