Wizara ya Ardhi
Govt Institution
- May 14, 2024
- 306
- 165
📱 Huduma za ardhi sasa kiganjani!,Kupitia e-Ardhi, Serikali inaendelea kusogeza huduma karibu zaidi na wananchi, Wataalamu wa sekta ya ardhi wameupokea vyema Mfumo wa kidijiti wa e-Ardhi na kuonesha utayari wa kuutumia katika kutoa huduma kwa wananchi kwa ufanisi, haraka na kwa urahisi zaidi, ikiwa ni sehemu ya juhudi za Serikali za kuimarisha utoaji wa huduma za ardhi kwa wananchi kwa njia ya kidijiti.
🔥 Mtwara imejiandaa! Wataalamu wako tayari! Huduma za ardhi sasa ni KIDIJITI Karibu tukuhudimie.
#eArdhi #ArdhiKidijitali #HudumaKwaWananchi #SerikaliYaMtandao #WizaraYaArdhi #HudumaZaArdhi