Mfumo wa Pharmacy Council unasumbua sana kupata pointi za CPD, tunafeli wapi?

JaxenDL

JF-Expert Member
Joined
May 17, 2022
Posts
1,118
Reaction score
2,581
Changamoto tunayopitia sasa hivi wakati huu wa kuhuisha leseni zetu kupitia Baraza la Famasia Tanzania (Pharmacy Council).

Mfumo wa CPD Portal Unasumbua: Mfumo ni mzito na unaleta hitilafu (errors). Kwa sasa kuna maswali ya kujibu kwenye mfumo lakini hakuna -access kabisa (haufunguki).

Huduma kwa Wateja Haipatikani: Tukijaribu kupiga namba zao za simu ili kupata msaada wa kiufundi, simu hazipokelewi kabisa.

Usumbufu wa Deadline na Faini: Mfumo wao ukizingua hadi deadline ikapita, wanatoza faini juu yetu na kuchelewesha leseni. Hali hii inavuruga kabisa ratiba na mipango yetu ya kazi na maisha

;Ni dhihaka mtaalamu kukwazwa kutimiza wajibu wake wa kisheria kwa uzembe wa mifumo ya taasisi, halafu adhabu na faini abebeshwe mtaalamu.

-Idara yenu ya IT irekebishe mfumo huu haraka,
-Pokeeni simu za wateja,
-Toeni muda wa nyongeza (grace period) ya kuwasilisha pointi bila faini kwa sababu changamoto hii inasababishwa nanyi, siyo sisi.
 
Moderator naomba uweke kule kwenye kero, inakera kweli kweli.
 
Back
Top Bottom